Eti ameniacha kisa kofi moja tu

Eti ameniacha kisa kofi moja tu

Alright
Eti "kofi moja tu", hivi mnaonaga ufahari kupiga wanawake eeh!! Huna adabu, bora kakuacha maana leo kofi moja kesho sita keshokutwa panga kabisa, wanaume wa hivi sio kabisa.
 
Alikujibyu yupo home anapika sasa wewe kimbele cha nini kukwapua kofi wakati majibu ya tukio unayo, ungemzoom kwenye 3D na kitecno chako uje umwonyeshe. Makofi ya nini vip we ndio una kadi yake ya kliniki!? Mweee ujana suluba
 
Mkuu vp kosa akose yy ww uombe msamaha huo n ulofa,kwann askwambie kuwa yuko sehem flan na huyo kakake km kweli alikua n kakaake ungemuongezea kof la pili tena double.
 
achana naye kijana. kama unania ya kuishi maisha ya ndoa atakusumbua. achana naye
 
watu wote naona mnazungumzia kofi moja lakini hamzungumzii suala la binti kudanganya yupo nyumbani anapika

Hata kama si angeingia maeneo hayo naye akakaa pembeni na jamaa yake au yeyotee akaagiza kinywaji bila kumsemesha huyo binti bint akijishaua anavunga na kama linamkera angemwambia vp chakula tyr... wasalimie kwenu then anaseepaa. Uuuwiii kupgwa hata mbwa hatakii sembuse mtuu...
 
Usivyo na adabu kaka mtu(shemeji yako) unamwita kijeba shika adabu yako nyambafuuu.....
 
Mkuu nilitaka niseme hivi hivi. Hongera kwa kuiba point yangu...


Toka lini mdogo mtu na kaka mtu wakakaa bar !?

Wewe utakuwa upo karne ya 19, kaka na dada hawakai bar!? Kuna siku unaweza mchukua nduguyo mkaenda kunywa na kufurahi pamoja
 
Uongo kwenye mapenzi ni kitu kibaya sana. Approach yako haikuwa nzuri, usingempiga...lakini achana nae, mtu muongo muongo hafai hata kwa mchuzi...!
 
Mwanamke anapigwa na khanga uache ufala kunyanyua mkono ovyo waweza geukwa njiani ukachezea vitasa vya ajabu....pili mwanamke akiringa dawa niku tyupa kuree maana angekuwa kaka yake kwann adanganye yko home...!!!! janjaruka mkuu wanawake ni wengi kuliko wanaume...amna haja yakuomba msamaha.

Mmh!,mi nilikuwa sijui mkuu!
 
Kofi ni kipimo cha kujua mke mvumilivu kwenye ndoa, kama anakupenda atarudi, usimpigie simu. Mpe mda wa wiki mbili, asipokupigia achana nae, hakupendi.

Ushauri mzuri mkuu!
 
Back
Top Bottom