chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Kwanza unefanya kosa kubwa kumpiga
Ungepaswa kumfata na kuniuliza labda kweli alikuwa ni kaka yake ila na yy pia ni muongo ingekuwa ni kaka yake asingekudanganya yuko home
Nakushaur usije unatisha kosa la kumpiga mpenz wako kumbuka hata Pete hujamvalisha . Yaelekea unahasira sana kaka ww kama unampenda vumilia mbembeleze au kama VIP tafuta mwingine muda 3 sio mingi sana