Kila kitu kina wakari wake, tuna mengi ambayo wao hawana na wao wana mengi ambayo sisi hatuna, wamepiga one step ahead, kwa iyo hauna haja kulaumu. Cha muhimu ni kujipa hope kua tutafikaDuh sisi hadi tuzeeke hatutaziona hizo hapa kwa Mtukufu Juma Pumber Maharage
Hope/matumaini uwape waathirika wa Ukimwi tuKila kitu kina wakari wake, tuna mengi ambayo wao hawana na wao wana mengi ambayo sisi hatuna, wamepiga one step ahead, kwa iyo hauna haja kulaumu. Cha muhimu ni kujipa hope kua tutafika
Hivi Ethiopia siasa zao si za kukabana makoo eti......!?Wenzetu wanasaka maendeleo sisi tuna kazi ya kudhibitiana.
Lakin anko magu kasema atanunua piaHalafu sisi pangaboi tunakuwa wehu
Hujaona kingine mkuu?Me mabinti tu hao wamenikosha roho jamani
Treni ya MwakyembePugu mpaka Posta hahahaha
Sio kwa majibu haya!!Hope/matumaini uwape waathirika wa Ukimwi tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ameleta magumashi wakati anajua umeme tu umetushinda labda treni zitatumia Power BankSio kwa majibu haya!!
Muugiza bhanaWamemchokoza Uncle hawa jamaa na asivyotaka kujaribiwa naona soooon anatenda miujiza ya Bombadia.
Acha kuhangaika n.a. wa mbali mrembo mwingine nipo Jiran naweMe mabinti tu hao wamenikosha roho jamani