Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,369
- 68,460
Aisee sema neno moja kwao
Ndio wenyewehongera zao sana............na hao ndiyo wahudumu wao?
Aisee sema neno moja kwao
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
AKILI NI ZAIDI YA MALIASILIHIVI HASA WANA MALI ASILI ZA AINA NGAPI HADI WAFIKE HUKO WAKATI SISI BADO TUNAMBWELA MBWELA HUKUU????????
Kuna waliotupoteza, Mungu anawaona na hata shetani hajapenda walichokifanyaHIVI HASA WANA MALI ASILI ZA AINA NGAPI HADI WAFIKE HUKO WAKATI SISI BADO TUNAMBWELA MBWELA HUKUU????????
Weka picha za treni basi, me nimewaona mabinti tu hapo.
Wenzetu wanasaka maendeleo sisi tuna kazi ya kudhibitiana.
Mkuu hawa ni WAHABESHI. Hawa sio WASOMALI.Sasa kwanini wanajibanza kwenye malori nusura ya kufa wakiikimbia nchi yao?