Ethiopia wazindua rasmi Treni za Umeme

Ethiopia wazindua rasmi Treni za Umeme

-->>NAONA NAO WAMECHAKACHULIWA WAMEUZIWA MODEL YA MIAKA 70's..ha ha ha ../
::RAIS WETU HAPA TZ FUNGA ZILE MODERN EGGED SHAPE/...
 
-->>NAONA NAO WAMECHAKACHULIWA WAMEUZIWA MODEL YA MIAKA 70's..ha ha ha ../
::RAIS WETU HAPA TZ FUNGA ZILE MODERN EGGED SHAPE/...
Hata mimi nimeshangaa.. treni za umeme zinakimbia km 120 kwa saa.. wakati kwa mwendo huo za diesel zinafika.. Duniani nchi zinazoinvest kwenye electric railway huwa mwendo wa treni za abiria huwa at least 200 kwa saa.
 
The maximum operating speed is
320 km/h ( 200 mph ) (on a 387.5
km section of the Tōhoku
Shinkansen). Test runs have
reached 443 km/h (275 mph) for
conventional rail in 1996, and up
to a world record 603 km/h ( 375
mph ) for maglev trains in April
2015.
 
CC TRL imegoma kabisa.... Hata lile la Mwakyembe kwisha habari kabisa!!! Sijui sisi tunaweza nini...... Labda kung'oa viti uwanja wa taifa!!!!!
 
Tuko busy na vivuko majini kwanza... tulete watumishi ofisini kwa meli la masaa matano toka Bagamoyo hadi Dar Port!!... Nalo toka lijaribiwe limefichwa!!... Hatulioni wala kulisikia!!... Huku tunaunda panton mpya!!...
 
Back
Top Bottom