Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
Hahahahaha wafanyakazi bado wapo na wanaenda kazini
Bongo hatari sana! Hakuna zaid ya tz
Hahahahaha wafanyakazi bado wapo na wanaenda kazini
Kinachonishangaza ni hao hao wa Ethiopia kukamatwa hapa bongo daily kama wahamiaji haramu wakikimbia kwao na kupita hapa kwenda SA kutafuta maisha huku afya zao zikiwa dhaifu kabisa.
Bwana Ridculouz kama Ethiopia wameendelea kiasi hiki kwa nini daily waethopia wanakamatwa mara Dodoma,tanga na arusha tena kwenye viroba vya chokaa na kwenye matenga ya nyanya na wengine hadi kufa kwa kukosa hewa wakikimbia maisha MAGUMU?? Ethiopia?
Hapo sijui ngoja waje waliokaa maeneo hayo watuambie nin shida
nini tena hii jamaa....?
Hahahaa........
![]()
Duuh,sijui itakuwa siku gani itakapojengwa walau nguzo moja ya aina hii hapa kwetu kwa ajili ya barabara za juu. labda katika awamu ya pili ya raisi anayekuja.Nasema hivyo kwa sababu alipoapishwa Raisi wetu katika awamu ya kwanza watu walikuwa wameshaanza kuzungumzia ajaye kumrithi tena baada ya miaka mitano.
Si kweli kuwa wanaokamatwa ni Ethiopians, majority (if not all of them) wanaokamatwa wamejificha kwenye malori kwenda sauzi ni WASOMALI!!
Ulete treni za umeme madereva wenyewe wapo, au unataka hata hawa madereva wachache waliopo wapigwe shoti????wenzetu wana treni za umeme
ADDIS ABABA | Addis Ababa Light Rail Project | U/C - Page 11 - SkyscraperCity
Yani unalalamika kuhusu dereva? hahaha! duh, we unadhani treni ikiwepo atakosa wa kuendesha?Ulete treni za umeme madereva wenyewe wapo, au unataka hata hawa madereva wachache waliopo wapigwe shoti????
Ina maana
Hahahaa........
![]()
Hakitushindi ngoja tumalizane na Katiba kwanza, halafu mpaka wanasiasa wote wakiridhika na posho wanazopata tutajenga tu.Jamani kitu kama hiki kinatushinda???
![]()
Mkuu ridculouz ni Mipango tu..Tunaweza zaidi ya hivyo..Ni kuondoa CCM tu...Hayo yote yatapatikana..
Unafikiri bila ya kuwapeleka kozi Ulaya watakwambia hawawezi kuendesha hao, chezea mbongo wewe...Yani unalalamika kuhusu dereva? hahaha! duh, we unadhani treni ikiwepo atakosa wa kuendesha?