- Thread starter
- #81
Mkuu hebu tuambie hivi wenyewe umeme wa uhakika kweli???Yeah, nimeenda Ethiopia mara kadhaa, na kila unapofika unaona mabadiliko ya dhati kwa macho. Highways na miundombinu inajengwa kwa kasi sana. Hawana siasa za kijinga, wanauzalendo wa dhati, huduma kwenye maofisi ya serika ni nzuri sana. Na kwa kweli utofauti mkubwa huonekana kati yao na watendaji wetu ambao 98% hukalia ofisi kwa manufaa ya matumbo yao badala ya manufaa ya nchi na vizazi vijavyo.
View attachment 144427View attachment 144428View attachment 144424View attachment 144425
