mkuu hawa watu kitu gani kinachowafanya wafanikiwe maana ukiangalia ingawa tumewazidi kiuchumi lakini wenyewe wanaonekana wako siriazi kuliko sisiSifa kuu ya Ethiopia wananchi hawakimbilii addis ababa kama ilivyo tanzania kila mtu anahamia dar.Utakuta mji upo kimya safi
mkuu hawa watu kitu gani kinachowafanya wafanikiwe maana ukiangalia ingawa tumewazidi kiuchumi lakini wenyewe wanaonekana wako siriazi kuliko sisi
Nimeangalia jinsi tulivyo na mali asili nyingi kulinganisha na waoEthiopia ni ya 8 tz ya 12 we umepata wapi hizo data.
Nimeangalia jinsi tulivyo na mali asili nyingi kulinganisha na wao
Hivi hii ni Train ya Wafungwa? Au kwa sababu mie nimekaa sana huku Shamba? Sikonge kweli ni Shamba Arooo!!!!
![]()
Hahahaa........
![]()
Mkuu sasa unaharibu, hii ndio nini tena!!
Tusubiri mwaka wa fedha 2030Duuh,sijui itakuwa siku gani itakapojengwa walau nguzo moja ya aina hii hapa kwetu kwa ajili ya barabara za juu. labda katika awamu ya pili ya raisi anayekuja.Nasema hivyo kwa sababu alipoapishwa Raisi wetu katika awamu ya kwanza watu walikuwa wameshaanza kuzungumzia ajaye kumrithi tena baada ya miaka mitano.
Hapo sijui ngoja waje waliokaa maeneo hayo watuambie nin shidaBwana Ridculouz kama Ethiopia wameendelea kiasi hiki kwa nini daily waethopia wanakamatwa mara Dodoma,tanga na arusha tena kwenye viroba vya chokaa na kwenye matenga ya nyanya na wengine hadi kufa kwa kukosa hewa wakikimbia maisha MAGUMU?? Ethiopia?