AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 954
Wa buku 7 huzikimbia threads hizi
Umeme wenyewe wa shida mhhhUlete treni za umeme madereva wenyewe wapo, au unataka hata hawa madereva wachache waliopo wapigwe shoti????
Ndio hapo sasa, wanataka gari moshi lituzimikie njiani!!! ushuke uanze kutafuta daladala na makazini tutafika saa ngapi?Umeme wenyewe wa shida mhhh
Hahahaaaaaaaaa... wapo kwenye utunzi wa serikali mbili wakimaliza kupiga kura ya wazi utawaona.Wa buku 7 huzikimbia threads hizi
hawa jamaa wa munich ni wahuni.....Jana hiyo mkuu kule Munich
hawa jamaa wa munich ni wahuni.....
Hahahaaaaaaaaa... wapo kwenye utunzi wa serikali mbili wakimaliza kupiga kura ya wazi utawaona.
Mkuu na wengine huwa wanalipwa kushughulikia wanaopinga serikali mbili kama hivi..Mkuu, Njaa kitu kibaya sana. Mwanaume mzima ananunuliwa kwa buku 7 ili kuja kutetea maslahi ya wanaume wengine!
kweli mimi mgeni.....!Wanaendelezea tu sera za Arsenal..........yaani Aerenal ndio tayari wana tawi la Cameron
![]()
Am sure hao unaowazungumzia ni WASOMALI.! Sio ethiopians
Wakitaka kwenda ulaya tunawapeleka tena ndo vizuri maana train zishakua yeboyebo kwa hiyo training itaenda vizuri... Train driving licence mtu haitaji miaka kusomeaUnafikiri bila ya kuwapeleka kozi Ulaya watakwambia hawawezi kuendesha hao, chezea mbongo wewe...




Halafu yule Mesut Ozil nikimuangalia yale macho yalivyomwagika kama simuelewi elewi...Wanaendelezea tu sera za Arsenal..........yaani Aerenal ndio tayari wana tawi la Cameron
![]()
Am sure hao unaowazungumzia ni WASOMALI.! Sio ethiopians