- Thread starter
- #121
Kumbuka wao wapo wengi sana zaidi ya millioni 80 na hawajasomahayo matumizi mazuri ya ethiopia ndio yanayosababisha watu wake mamia kuhama nchi kila mwezi? tunayo matatizo yetu ndio, lakini hatujafikia hatua ya mamia ya watanzania kuhama nchi kinyemela kwenye malori.