Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Status
Not open for further replies.
Esther Wasira Kichaga tunasema HAIKA, Kiingereza ASANTE, kizungu THANKS... dadangu bora umenisaidia kumuelimisha huyu jamaa asipoelewa tena na hapo basi hata kaa aelewe tena. ni aibu kwa umri wake kujilinganisha na wewe na kujivuinia hicho anachokiita CV ambayo halingania hata na jina lake achilia mbali umri wake... once again HAIKA SANA..
 
Last edited by a moderator:
Tiunasubiri rejoinder yako Le Mutuz. Hayo ni majibu ya brain ya Chadema. Wewe ni brain ya CCM toa majibu yako tupambanishe hoja!
 
LE MUTUZ hawezi kurudi kwani hakujua kama ester yumo ndani ya nyumba sasa anajiuliza huko alikoarudije.... jamani kukurupuka ni aibu sana ona sasa mtu mzima katolewa nishai na binti ambaye ni kama mwanae (ILA HUWEZI KUWA NA MWENYE AKILI KAMA HUYU)
 
tiunasubiri rejoinder yako le mutuz. Hayo ni majibu ya brain ya chadema. Wewe ni brain ya ccm toa majibu yako tupambanishe hoja!

brain ya chadema ni wasira...brain ya ccm ni wasira.......le mutuz alikuwa # 12 sio brain ya ccm
 
- Wewe usiniletee uchuro niingie wapi? Na mimi nije niongozwe na mtoto wa Wassira mdogo just that qualification? ha1 ha1 ha! ha! Sasa mtoto tu wa mdogo wake mnashobokea hivi je akija Wassira mwenyewe huko Chadema si ndio atakuwa Rais wenu, yaani chama hakina hata kanuni, ukiwa mtoto wa kigogo wa CCM ukiingia huko automatically unakuwa kiongozi hata kama kigogo ni baba mdogo tu inatosha, ukame wa majina na viongozi wenye uwezo, huruma sana!!

Le Mutuz!!

Sijawahi kuona mwanasiasa mjinga na zuzu kama huyu. Ona memba wanamchokonoa kwa maswali ya kuuzi na yeye anajibu kihuni na matusi juu. Usidhani heshima tunazowapa kina Zitto, Mnyika, J.Makamba, Ester Wassira, zinakuja ovyo namna hii, ni kutokana na jinsi wanavyo-adress mambo hata kama hawako sahihi sana

My Take:-Kama huna alternative ni vyema ukabadili ID ili kuficha ujinga huu
 
W.malechela majuu ulikuwa unafanya kazi gani mtoto wa kigogo mstaafu!!!!!!!?
 
ANGALIZO:Kiukweli kabisa huyo Le Mutuz hana uwezo wa kutosha wa kujenga hoja zenye mashiko, ukimlinganisha na Ester Wassira.Lakini baadhi ya hoja za Le mutuz zina jambo la kujifunza kwa wanachadema wote kwa ujumla,.Hoja ya chadema kukumbatia watu wenye majina makubwa hasa wale waliojiengua CCM siyo hoja nyepesi kama wengi wenu mnavyofikiria,Je hiyo ndiyo mikakati yenu ya kupata mtaji mkubwa wa kisiasa? Huku mkiwa na lengo jingine la kuwakomboa wananchi wa kawaida,Kama huyo binti anavyojinasibu kwamba yeye habebwi na jina la mzazi wake,sasa ilikuwaje waliita waandishi wa habari, siku yeye alipokabidhiwa kadi ya uanachama ya chadema?ingali yeye ni anajichukulia kama mwananchi wa kawaida tu.Inakuwaje anapewa nafasi nyeti ,kama muwasilishaji mada,katika midahalo mikubwa ya kijamii,ambayo chadema wanahusika kuiandaa,kwa mfano Mdahalo wa kumbukumbu ya Mwl Nyerere uliofanyika miezi kama miwili au mitatu iliyopita pale udsm(mlimani) chini ya uenyekiti wa ndugu Kitila mkumbo(mjumbe wa halmashauri kuu ya chadema) Naomba ufafanuzi wa kina tafadhari!
 
ANGALIZO:Kiukweli kabisa huyo Le Mutuz hana uwezo wa kutosha wa kujenga hoja zenye mashiko, ukimlinganisha na Ester Wassira.Lakini baadhi ya hoja za Le mutuz zina jambo la kujifunza kwa wanachadema wote kwa ujumla,.Hoja ya chadema kukumbatia watu wenye majina makubwa hasa wale waliojiengua CCM siyo hoja nyepesi kama wengi wenu mnavyofikiria,Je hiyo ndiyo mikakati yenu ya kupata mtaji mkubwa wa kisiasa? Huku mkiwa na lengo jingine la kuwakomboa wananchi wa kawaida,Kama huyo binti anavyojinasibu kwamba yeye habebwi na jina la mzazi wake,sasa ilikuwaje waliita waandishi wa habari, siku yeye alipokabidhiwa kadi ya uanachama ya chadema?ingali yeye ni anajichukulia kama mwananchi wa kawaida tu.Inakuwaje anapewa nafasi nyeti ,kama muwasilishaji mada,katika midahalo mikubwa ya kijamii,ambayo chadema wanahusika kuiandaa,kwa mfano Mdahalo wa kumbukumbu ya Mwl Nyerere uliofanyika miezi kama miwili au mitatu iliyopita pale udsm(mlimani) chini ya uenyekiti wa ndugu Kitila mkumbo(mjumbe wa halmashauri kuu ya chadema) Naomba ufafanuzi wa kina tafadhari!
 
Tiunasubiri rejoinder yako Le Mutuz. Hayo ni majibu ya brain ya Chadema. Wewe ni brain ya CCM toa majibu yako tupambanishe hoja!

Na wewe ni KILAZA pia yani unaifananisha CHADEMA na Esther Wasira?,nyama nyekundu wewe!!!!!!!,usituharibie jina la chama.Nonsense!!!!!!!!!!!!
 
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.




Chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers' | Bongo5

Ombi: Baada ya Malecela Le Mutuz kuleta malumbano na kujinasibu kuwa yeye ana uwezo mkubwa na kumwita Esther Wasira Kilaza, naomba kuwaalika wote wawili katika debate hapa JF. Esther amethibitisha, e Mutuz upo tayari ili tukubaliane muda?


Majibu ya Esther Wasira kwa hoja za W.J. Malecela a.k.a Le Mutuz haya hapa:

Mimi nimekubaliana na wewe kabisa. Tugonge hoja, tuache hizi character assassination.
 
Last edited by a moderator:
ANGALIZO:Kiukweli kabisa huyo Le Mutuz hana uwezo wa kutosha wa kujenga hoja zenye mashiko, ukimlinganisha na Ester Wassira.Lakini baadhi ya hoja za Le mutuz zina jambo la kujifunza kwa wanachadema wote kwa ujumla,.Hoja ya chadema kukumbatia watu wenye majina makubwa hasa wale waliojiengua CCM siyo hoja nyepesi kama wengi wenu mnavyofikiria,Je hiyo ndiyo mikakati yenu ya kupata mtaji mkubwa wa kisiasa? Huku mkiwa na lengo jingine la kuwakomboa wananchi wa kawaida,Kama huyo binti anavyojinasibu kwamba yeye habebwi na jina la mzazi wake,sasa ilikuwaje waliita waandishi wa habari, siku yeye alipokabidhiwa kadi ya uanachama ya chadema?ingali yeye ni anajichukulia kama mwananchi wa kawaida tu.Inakuwaje anapewa nafasi nyeti ,kama muwasilishaji mada,katika midahalo mikubwa ya kijamii,ambayo chadema wanahusika kuiandaa,kwa mfano Mdahalo wa kumbukumbu ya Mwl Nyerere uliofanyika miezi kama miwili au mitatu iliyopita pale udsm(mlimani) chini ya uenyekiti wa ndugu Kitila mkumbo(mjumbe wa halmashauri kuu ya chadema) Naomba ufafanuzi wa kina tafadhari!
Mdahalo wa udasa ni wa CDM. Mbona watu tunashindwa hata kufikiri. She desreve respect and appreciation for what she contributed. Na wewe changia vitu vya maana basi.
 
ANGALIZO:Kiukweli kabisa huyo Le Mutuz hana uwezo wa kutosha wa kujenga hoja zenye mashiko, ukimlinganisha na Ester Wassira.Lakini baadhi ya hoja za Le mutuz zina jambo la kujifunza kwa wanachadema wote kwa ujumla,.Hoja ya chadema kukumbatia watu wenye majina makubwa hasa wale waliojiengua CCM siyo hoja nyepesi kama wengi wenu mnavyofikiria,Je hiyo ndiyo mikakati yenu ya kupata mtaji mkubwa wa kisiasa? Huku mkiwa na lengo jingine la kuwakomboa wananchi wa kawaida,Kama huyo binti anavyojinasibu kwamba yeye habebwi na jina la mzazi wake,sasa ilikuwaje waliita waandishi wa habari, siku yeye alipokabidhiwa kadi ya uanachama ya chadema?ingali yeye ni anajichukulia kama mwananchi wa kawaida tu.Inakuwaje anapewa nafasi nyeti ,kama muwasilishaji mada,katika midahalo mikubwa ya kijamii,ambayo chadema wanahusika kuiandaa,kwa mfano Mdahalo wa kumbukumbu ya Mwl Nyerere uliofanyika miezi kama miwili au mitatu iliyopita pale udsm(mlimani) chini ya uenyekiti wa ndugu Kitila mkumbo(mjumbe wa halmashauri kuu ya chadema) Naomba ufafanuzi wa kina tafadhari!
Wamemwona ana hoja ndio maana wanamwalika. Isitoshe, Esther Wasira alituambia hapa hajawahi kuwa mwana CCM. Kuhusu kupokelewa, kila Chama kina namna yake ya kufanya kazi. Mbona mama aliyefukuzwa udiwani Arusha alipokelewa kwa mbwembwe na CCM wakati ni makapi?
 
- Yaani Kiongozi mzima wa Taifa nikajishushe hivyo vipi wewe, sasa nitakiambia nini chama changu kwamba ninaenda ku-debate na mtoto wa wassira mdogo, that is all? Mkuu vipi wewe unafikiri mimi nina muda wa kupoteza khivyo?

- Mimi ninaweza kudebate na viongozi wako wa Taifa ambao ni level yangu, huyu sio labda mpeni nafasi kwanza I am too big bro, unajua nimechaguliwa na mkutano wa Taifa yaani wenye Wajumbe wa Mikoa yote ya Bara na Visiwani, kuwa na heshima kidogo basi!1 ha1 ha1 ha!

Le Mutuz!!
Nani alikupa uongozi wa kitaifa we kiazi. Sema uongozi wa CCM. Yaani uko hovyo sana kihoja. Sijui nitumie neno gani, Ila Ester sio saizi yako hata 1%, akina Ritz sawa. Na ukitaka uaibike vibaya, Jaribu mjadala na huyo dada mdogo. Hivi unafikiri vizuri kweli. Hebu sikiliza hayo mahojiana, halafu kaa chini ufikirie. Unatia Aibu Jina la Malecela.
 
- Hii thread ilikuwa imekufa kabisa lakini The King Of All Social Media in Bongo nimeigusa tu tayari imeshakuwa live you see you cant get enough of my vidonge, mnajua kuwa ninawaambia ukweli! tena ugly truth ambayo huwa hmana tabia ya kuambiana huko Chadema kazi yenu ni kufuga mediocre, huyu dada niambieni ni kiongozi wa nini mpaka sasa amekuwa msemaji wa Chadema tawi la JF?

LE Mutuz!!
Hili LE Janga la Taifa limeharibu hoja. Unalisifia?
 
Wamemwona ana hoja ndio maana wanamwalika. Isitoshe, Esther Wasira alituambia hapa hajawahi kuwa mwana CCM. Kuhusu kupokelewa, kila Chama kina namna yake ya kufanya kazi. Mbona mama aliyefukuzwa udiwani Arusha alipokelewa kwa mbwembwe na CCM wakati ni makapi?

Kabla ya kujiunga na chadema,ni wapi Ester Wassira alitoa hoja zenye mlengo wa kuitetea jamii ya kitanzania,kama mwanaharakati huru,hadi hoja zake zikaonekana ni tunu kufikia kiwango cha kupewa nafasi kama hiyo aliyopewa katika mdahalo na ndugu kitila mkumbo?
 
Dada Esther Wassira,

Mungu akubariki sana dada yangu. Uko poa na unaonekana unajua kile unachokizungumzia. Hakika wewe ni mwanamke wa shoka. Huu ni mwanzo tu. Songa mbele, songa mbele nchi hii inakutegemea, you can be a Iron Lady of Tanzania.

Nukuu yako ya Baba wa Taifa, ambayo nilikuwa naipenda sana wakti nikiwa shule napenda na mimi niinukuu kwa kimombo kwa vile nilikuwa nimeikariri kama wimbo,''Those who receive this privilege therefore have a duty to repay the sacrifice which others have made,they are like a man who have been given all the food available in a starving village so that..............if they fail to do so then they are traitors'' mwisho wa kunukuu.
Le Mutus, Le Janga ni traitor. Ester alizungunza kizalendo mno, sijui huyo Le Janga, kinamwasha ni nini.
 
POOR W.J. MALECELA! Waliokupigia kura watajutia kura zao walizokupatia! POOR REASONING!

Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiri!
 
Watanzania bana.

Siyo kitu cha kushangaza nchi imefika hapa ilipo kutokana na uvivu wa kufikiri na kuchanganua mambo, kwa mtaji huu ndiyo maana tunapata boffola political leaders.

Mtu akiongea maneno mawili matatu yanayooonekana kama yana maana basi inakuwa ndiyo tiketi ya kupewa uongozi.

Jina lake likiwa limetanguliwa na jina la 'mtu maarufu' nchini ndiyo basi kabisa. Yaani uongozi unakuwa kama charity.

Siamini kama CHADEMA inaweza ikawa desperate kiasi hiki kupata viongozi. kama ndivyo hivyo, basi kuna tatizo kubwa ndani ya chama, ndiyo maana mpaka kiongozi mkuu alipata muda na kuita waandishi wa habari ili kushuhudia tukio la 'kihistoria' la kupewa kadi ya chama kwa watu waliobeba jina 'maarufu'.

Ndiyo yale kama wanavyosema, if CCM does, We can do as well.

Siasa za copy & paste without giving any alternative choice to a society. Huku ni kutowatendea haki wananchi wanaolipa kodi.
Unamdanganya nani, labda Le Mutus Janga la taifa.
 
Jamaa kakimbia jukwaa,kashinda hapa tangu asubuhi lakini baada ya majibu ya dada ka sign out haraka sana. ha ha ha ha ha Le Mutuz aka Baharia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom