mbunge wa ndugai ampe majibu sahihi
Kumbe!na advantage nyingine kukatika ni nadra sana
yes ule wa ugandaKumbe!
Stiegler ipi tena? Ile 2115 MG? Mbona project imekufa?Hata hiyo stiegler ikikamilika, bado umeme utakuwa bei juu tu.
We kumbe huna akili, Mbunge anachomaanisha Tanesco wanatuuzia umeme bei mbaya mno,Aisee....
hv mtu wa dar naweza kutumia umeme wa kagera
Wametajwa wakazi wa Kagera wanaotumia umeme wa Uganda soma vizuri kijanaWe kumbe huna akili, Mbunge anachomaanisha Tanesco wanatuuzia umeme bei mbaya m oo
Shida ubaguzi wa TANESCO wana umeme wa bei tofauti tofauti usiozingatia vigezo, kuna bei za tarrif0,1,2 3 na 4elfu 10 kwa tarrifs zote? Mbona hata dizzim watu wa tarrif 1 wanapata hizo 80 units? Au anatafuta huruma ya walalahoi na wanyonge?