Esther Matiko amtaja Mchungaji Msigwa kuwa ni kinara wa akuropoka Bungeni

Status
Not open for further replies.

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,869
2,000
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa wabunge wamechoshwa na fujo za Mchungaji Msigwa Bungeni, Mbunge wa Viti Maalum Chadema, ESTHER MATIKO amemuonesha Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai mbunge anayefanya fujo Bungeni. Matiko amemnyooshea mkono Mchungaji Msigwa na kumuomba Naibu Spika amuondoe sehemu alipokaa ambapo alikaa karibu na Godbless Lema. Kuona kuwa Msigwa anaumbuliwa, taratiibu alijiweka kando na Lema na sasa katulia tuliii kana kwamba amemwagiwa maji. Aidha, Naibu Spika amemuonya Msigwa kutokana na utovu wa nidhamu anaouonesha.

Hii ni fedheha kwake na ni wazi kuwa ndani ya Upinzani hakika wamechoshwa na vituko vya Mchungaji Msigwa na wenzake kama akina Lema, Wenje na Sugu
==========================

Ni baada ya kumtaja Msigwa kwa kuvuja taratibu za bunge kwa makosa badala ya Lema

Haya yametokea baada ya Msigwa kuomba mwongozo wa spika muda mfupi kabla ya kuahirisha kikao cha bunge usiku huu!
 
Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,737
2,000
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa wabunge wamechoshwa na fujo za Mchungaji Msigwa Bungeni, Mbunge wa Viti Maalum Chadema, ESTHER MATIKO amemuonesha Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai mbunge anayefanya fujo Bungeni. Matiko amemnyooshea mkono Mchungaji Msigwa na kumuomba Naibu Spika amuondoe sehemu alipokaa ambapo alikaa karibu na Godbless Lema. Kuona kuwa Msigwa anaumbuliwa, taratiibu alijiweka kando na Lema na sasa katulia tuliii kana kwamba amemwagiwa maji. Aidha, Naibu Spika amemuonya Msigwa kutokana na utovu wa nidhamu anaouonesha.

Hii ni fedheha kwake na ni wazi kuwa ndani ya Upinzani hakika wamechoshwa na vituko vya Mchungaji Msigwa na wenzake kama akina Lema, Wenje na Sugu
Si yeye tu mwenye tabia hiyo. Wabunge wengi wa UKAWA ndivyo walivyo.
 
Weston Songoro

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
2,794
1,500
Si yeye tu mwenye tabia hiyo. Wabunge wengi wa UKAWA ndivyo walivyo.
Nadhani ni makosa sana kusema kuwa wabunge wote UKAWA wanafanya fujo. Ni hawa wahuni tu wa CHADEMA kama Wenje, Sugu, Lema na yeye Msigwa. Wabunge wengi wa CUF na NCCR ni wastaarabu sana na ni wazalendo
 
Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
image.jpg image.jpg Rais mtarajiwa
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom