Ester Matiko ananiumiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ester Matiko ananiumiza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by oldonyo, Oct 15, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asalaam walekhum wanajamvi!dah leo nimeamua kutoa dukuduku langu humu ili mnisaidie,sasa nimetokea kumpenda mbunge wa viti maalum cdm ester matiko,uyu binti jinsi anavoongea,alivo sura yake na umri wake umenifanya nichanganyikiwe vp member mnaweza kuni Pm namba yake walau mwanenu nikae au kuna mtu anataarifa zake au alisoma nae?
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mke wa mtu huyo. Utaliwa kiboga kushobokea vya watu
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Weka picha yake nimthaminshe kwanza ndo niku pm number yake! Si kuja na ndoto za alfajri hapa
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mke wa mtu huyo, mi kanifundisha na kipindi hicho alikuwa mjamzito{2009/2010}. Ila sikushangai maana ilikuwa balaa akiingia class, ule mguu wake ndo balaa zaidi.
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kama humjui-kwani unadai picha, namba yake utaipataje?
   
 6. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa uta MP vipi no. Yake wakati humjui hata kwa picha?
   
 7. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ndio unazidi kumchanganya kabisa mwenzio.
   
 8. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  OLDONYO mbona kuna kidume kishajiweka pale?au unataka upambane nae?
   
 9. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  yule dada ni noumer,kama sio mkurya vile!
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  namba za wabunge wote ziko kwenye tovuti ya bunge..
   
 11. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Laama zingine bwana, huyo mke wa mtu wewe unashoboka wa nini? Imagine mwanaume kama wewe anapiga hesabu za kupata mkeo/GF wako utajisikiaje? Sometimes hekima itumike usiwe mbinafsi wa kufikiri.

  Nawacilisha.

  CD
   
 12. h

  hoyce JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Naona hapa utapata namba ya mumewe, akuwekee mtego uliwe kiboga
   
 13. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Inawezekana jamaa hakujua kama ni mke wa mtu...

  Inabidi arudi hapa kueleza kuwa amebadili nia, halafu kama anataka kuendelea na mpango wake aendelee kimya kimya manake cku hz wake za watu wanaliwaliwa tu kwa kutojiheshimu kwao. Ila yule dada anajiheshimu sana tofauti na lile li Bulaya linalohangaika hadi saa 8 usiku
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280

  Usidharau dada zetu ni warembo sana wewe nani alikuambia wakurya sio? ha ha ha tuko juu mnasema wakorofi lakini mnapenda dada zetu teh sheeeemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Inabidi atuambia kama yuko serious kweli aseme. Kuna dada mmoja wanafanana naye kila kitu, kama yuko tayari kubadili msimamo mi nikutambulishe harafu wewe utaendelea.
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  kwani ulishindwa kumjulisha tu kuwa ni mke wa mtu hadi uweke maneno kibao kama umekulia uswahilini?
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanajitafutia matatizo wenyewe.
   
 18. E

  Endaku's JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2011
  Joined: May 25, 2007
  Messages: 322
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Namba ya Mtu sio shida mkuu unaweza kupewa ila umeshaambiwa ni mke wa mtu ,tumia busara achaa hayo mambo ya wake za watu tena kujitangazia hapa JF , sio Vizuri bana !

  Ushauri tuu kaka ,maana sikio la ............!
   
 19. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mtata Mwita amerudi. Mura Mang'anaa
   
 20. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hata oni nu mukrya ndenge mura,oyo nu muiseke weito nyamwabho!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...