Hii nilini mkuu?MAGUFULI mwaka huu ataua viongozi wengi.
Huyu aliyeanguka chini ni mkuu wa wilaya ya Moshi mjini akienda kukagua mashamba ya mpunga!!
Bado kuna shida mahali,ungekuwa mungu walau ungekuwa na haki
Mlimshoka kwasababu zipi? Hiyo garama ndio watanzania walipe?Ana nn hii hawa haki na sheria muhimu sana tii utaratibu zilizowekwa ana usharoobaro tupu hanajipya Bunda Tu nataka kazi sio maneno na majungu ya ukawa
ambapo umeshindwa kupitaBado kuna shida mahali,
kosa la Esther ni nini?
Ndio maana tunasema hawamu hii ndio mwisho wa ccmEster ni shujaa ! Kamgaragaza wasira uraiani na mahakama zote , ile kuu na ile ya rufaa na leo tena kaligaragaza jeshi la polisi ! hivi gharama walizotumia kumkamata huyu dada na kumsafirisha kishujaa namna ile inaweza kutengeneza madawati mangapi ?
Nilikuwa najiuliza gharama zote hizo za nini?MATUMIZI MABAYA YA STATE
RESOURCES.
Unamkamata Bulaya Mwanza
unatumia mafuta ya serikali
na polisi pia nauli ya ndege
kumpeleka dar halafu
unamfikisha anaachiwa!!!!
Ndugai, polisi na ccm ni
majipu.
#Eti wanabana matumizi.
sasa si uwashuri mashehe watoe matamko????angekuwa rais ni muislamu ungesikia matamko ya mababa paroko hadi muda huu wapo kimya
hasa suala la zanzibar angeshinda mkristo halafu muislam hatak kuachia ungesikia matamko ya wanafiki mala ooo gaidi umeya jiji la dar maparoko kimyaaaaaa kwakuwa nchi ipo chini ya mkristo mana ni wazee wa matamko
aliyekuwa akihamasisha makanisan asichaguliwe rais kutoka cuf leo ni wazir wa magu unategemea kuna haki apo?
sifa kuu imwendee Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , ingekuwa noma kweli !nahisi sifa kuu ya kuwa afande mchapakazi ni kuwakamata wafuasi na wabunge wa cdm tu
Kwahiyo ule aliyeuwangusha ni karumanzira?Tatizo la Ester kaangusha mbuyu wenye mizimu mingi sasa inamfuata fuata.
Inabidi tumkinge kwa maombi na dua maana kuhamisha makazi ya mizimu iliyojichimbia tangu enzi za uhuru siyo kazi ndogo.
Duh! Nilidhani kuna mtu alikuwa anachukua kwa jina lake kumbe ni yeye mwenyewe? Wonders shall never end mkuuWanaacha kumkamata Mfanyakazi hewa wa BOT ..91. yupo Bungeni miaka zaidi ya 5 sasa lakini mshahara wa BOT ulikua unaingia mpaka mwezi uliopita kachukua. Only in Tanzania.!
sio itakadi yaosasa si uwashuri mashehe watoe matamko????
niko serious nahitaji kujua kosa alilokuwa charged nalo...so hizo rhetoricsTatizo la Ester kaangusha mbuyu wenye mizimu mingi sasa inamfuata fuata.
Inabidi tumkinge kwa maombi na dua maana kuhamisha makazi ya mizimu iliyojichimbia tangu enzi za uhuru siyo kazi ndogo.
Siyo kosa lao wanatumikasifa kuu imwendee Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , ingekuwa noma kweli !
MAGUFULI mwaka huu ataua viongozi wengi.
Huyu aliyeanguka chini ni mkuu wa wilaya ya Moshi mjini akienda kukagua mashamba ya mpunga!!

Nimefuatili kosa la Ester Bulaya eti alifanya fujo kwenye kituo cha polisi Bunda mwaka jana mlalamikaji ni steven Wassira