Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

Mimi najiuliza tu hivi radar inaweza kukamata/ kushuku wanajeshi wa miavuli?

Yaani chukulia mfano ma spy wateremshwe kwa njia ya mwamvuli kutoka kwenye ndege kisha waingie nchini na vile sehem nyingi hapa nchini wazungu huchukuliwa kama watalii au wawekezaji

Je tutaweza kujua kama kuna watu wameingia pasi na vibali?
Mkuu hilo swali linaihusu nchi yetu au nchi za wenzetu?

Kama ni hizi nchi zetu za kiafrika, kwanini wajihangaishe kiasi hicho wakati milango ipo wazi kabisa tena tutawapitisha kwa kuwapigia makofi na kuwatafutia hadi sehemu za kulala!

......
 
Dah
 
huku Africa tunasifika kwa kutuma njiwa mweupe mwenye hirizi hahah.Kweli hatupo sawa!
 
Idlib mpakani mwa Israel na Syria? Then Tai awe wa Israel hii Kali aisee.....Huyo Tai anatumia Engine ya Tomahawk au Damu/moyo.....
 
Mimi najiuliza tu hivi radar inaweza kukamata/ kushuku wanajeshi wa miavuli?

Yaani chukulia mfano ma spy wateremshwe kwa njia ya mwamvuli kutoka kwenye ndege kisha waingie nchini na vile sehem nyingi hapa nchini wazungu huchukuliwa kama watalii au wawekezaji

Je tutaweza kujua kama kuna watu wameingia pasi na vibali?
Tz iko vzr kuliko hata uijuavyo..... usidhani kua hatumendewi ila tunajua kuwadhibiti tena kimya kimya..... Usiichukulie poa Tz yetu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom