Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

View attachment 559381

Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini Syria

Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa na Israel kufanya ujasusi katika kanda hiyo .

Ndege huyo anasemekana kuonekana maeneo ya Idlib karibu na mpaka wa Uturuki.

Vikosi vya upinzani vilimuua ndege huyo kwa risasi baada ya kugundua kuwa alikuwa anapaa na kuzunguka eneo moja katika kanda hiyo .

Ndege huyo alikuwa amewekwa kamera na vifaa vya uchuguzi katika mwili wake .

Syria imekuwa ikikumbwa na vita kwaa miaka 6 sasa .

Source: Syrian opposition shoot down Israeli 'spy' bird near Turkish border
Israel ndiyo brain ya dunia.
 
Habari asilia ni kwamba waasi wanaompinga rais Asad ndio waliomtungua ndege huyo. Waasi hao hawana uhakika iwapo tai huyo ni jeshi la Israeli ama Syria.

Hata hivyo, wamesema kwa sasa wamekuwa makini kuchunguza ndege warukao katika maeneo yao yote.

NB: kuna kunguru wanaruka na kuzungukia eneo la makinikia na pale penye jumbani yao. Tuwe makini na hao kunguru. Haa ha ha haa. Utani mwingine nouma usipime
 
Mimi najiuliza tu hivi radar inaweza kukamata wanajeshi wa miavuli?

Yaani chukulia mfano ma spy wateremshwe kwa njia ya mwamvuli kutoka kwenye ndege kisha waingie nchini na vile sehem nyingi hapa nchini wazungu huchukuliwa kama watalii au wawekezaji

Je tutaweza kujua kama kuna watu wameingia pasi na vibali?
Da we jamaa umeuliza swali la akili sana kula tano sijui umewaza nini ila swali lina mantiki kubwa hasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najiuliza tu hivi radar inaweza kukamata wanajeshi wa miavuli?

Yaani chukulia mfano ma spy wateremshwe kwa njia ya mwamvuli kutoka kwenye ndege kisha waingie nchini na vile sehem nyingi hapa nchini wazungu huchukuliwa kama watalii au wawekezaji

Je tutaweza kujua kama kuna watu wameingia pasi na vibali?
Radar inachunguza mienendo ya shughuli za vyombo vinavyopita angani tu, haiwezi kukamata wala kuzuia shughuli za anga.
 
Sisi tutafika hizi level sijui lini
Mkuu tusitegemee kufika huko anytime soon.. Tuna generation mbili za ovyo sana nchi hii.

Kuna hawa 50-40 hawa wengi ni waongo waongo na opportunist.. Alafu tuna 40-16 hawa ndio bure kabisa, Generation hii ndio tunajifanya tunajua kila kitu, Generation hii siasa tumefanya ndio msingi mkuu wa maisha yetu.. Kila jambo tunalalamikia wanasiasa pasi ya wenyewe kulitafutia ufumbuzi..

Nchi hii tulipo hapa tuombe tu wadogo zetu wa 16-1 waje walisaidie hili taifa.. Inashangaza pamoja na jitihada zinazofanywa na JPM kuna mijinga mingi inapinga kisiasa siasa tu eti kwakuwa fulani na fulani wamesema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom