Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

Ndege wataangamia maaeneo ya vita na kambi za Jeshi. Hii si sawa kabisa kutumia wanyama hawa kwa jinsi hii. Nilijua hii ni kwa ajili ya movi tuza kizamani huko uchina na korea
 
Huku kwetu watu wametumia risasi zaidi ya 30 kumuua mtu na wakaishia kumpapasa miguu tena kwenye short range.

Kumuua huyo tai kwa risasi wangetumia risasi gunia nne.
 
View attachment 559381

Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini Syria

Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa na Israel kufanya ujasusi katika kanda hiyo .

Ndege huyo anasemekana kuonekana maeneo ya Idlib karibu na mpaka wa Uturuki.

Vikosi vya upinzani vilimuua ndege huyo kwa risasi baada ya kugundua kuwa alikuwa anapaa na kuzunguka eneo moja katika kanda hiyo .

Ndege huyo alikuwa amewekwa kamera na vifaa vya uchuguzi katika mwili wake .

Syria imekuwa ikikumbwa na vita kwaa miaka 6 sasa .

Source: Syrian opposition shoot down Israeli 'spy' bird near Turkish border
Kwa muonekano wa huyo ndege sio Tai,huyo ndege kwa lugha ya kiingereza anaitwa Vulture ingawa kwa Kiswahili chake naye sijui anaitwaje,labda mwenye uwelewa atusaidie,wana tabia zinazofanana za kukaa angani muda mwingi akizungukia mahali pamoja muda mrefu akiwinda mlo wake.Ila nimeipenda hiyo mbinu ya kutumia kiumbe ndege kwenye maswala ya ujasusi..
 
Kwa muonekano wa huyo ndege sio Tai,huyo ndege kwa lugha ya kiingereza anaitwa Vulgar ingawa kwa Kiswahili chake naye sijui anaitwaje,labda mwenye uwelewa atusaidie,wana tabia zinazofanana za kukaa angani muda mwingi akizungukia mahali pamoja muda mrefu akiwinda mlo wake.Ila nimeipenda hiyo mbinu ya kutumia kiumbe ndege kwenye maswala ya ujasusi..
Hiyo ndiyo Israel. Hapa tz kuna ndege wengi sana hasa mwambao wa ziwa Tanganyika wana bangili miguuni ina maandishi na namba hadi nchi wanakotoka. Huwa hawaogopi watu ishara ya kuwa wamezoea kuishi na watu. Nimeshuhudia ndege huyo mkoani katavi eneo la Ikola karibu na kigango cha jeshi ikola miaka ya 2006.
Ndege huyo alipelekwa morogoro baada ya kuuawa lakini inasemekana nchi husika hiyo ya ulaya waliwaka sana ndege wao kuuawa. Hatari.
 
ulaya wana tumia sana airport eagle kuwafukuza ndege wadogo wasingia kujivicha kwenye engine za ndege
wakalete ajali , ndege wanakua kazini mchana yote kutoa hatari
 
Hiyo ndiyo Israel. Hapa tz kuna ndege wengi sana hasa mwambao wa ziwa Tanganyika wana bangili miguuni ina maandishi na namba hadi nchi wanakotoka. Huwa hawaogopi watu ishara ya kuwa wamezoea kuishi na watu. Nimeshuhudia ndege huyo mkoani katavi eneo la Ikola karibu na kigango cha jeshi ikola miaka ya 2006.
Ndege huyo alipelekwa morogoro baada ya kuuawa lakini inasemekana nchi husika hiyo ya ulaya waliwaka sana ndege wao kuuawa. Hatari.
Uko sawa ndg
 
Kwa muonekano wa huyo ndege sio Tai,huyo ndege kwa lugha ya kiingereza anaitwa Vulgar ingawa kwa Kiswahili chake naye sijui anaitwaje,labda mwenye uwelewa atusaidie,wana tabia zinazofanana za kukaa angani muda mwingi akizungukia mahali pamoja muda mrefu akiwinda mlo wake.Ila nimeipenda hiyo mbinu ya kutumia kiumbe ndege kwenye maswala ya ujasusi..
Huyo ndie Tai kwa kiingereza anajilikana kama Bald headed Vulture. Mbuga zetu za wanyama wamejaa hao wana sifa ya uvimilivu sana hasa muda wanaosubiri mizoga baada ya akina Simba, Fisi na Chui kushiba mawindo yao
 
KWETU HUKU KABLA YA HATA KURUKA TUNAWAPIGA VIBERITI HATUTAKI MCHEZO MCHEZO
 
Back
Top Bottom