Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

Biology umesoma wewe !!? Kama ndio ndege yupo kingdom gani? ukishindwa endelea na masomo yako uliyoyasoma ya MWANAMUTAPA EMPIRE na usichangie tena mada usiokuwa na utaalamu nazo
Sikusoma mkuu.
Ila nijuavyo mimi unapo 'classify' kwa 'the highest system rank of classification' maana yake wanashea characteristics chache sana kuliko 'rank order' inavyoshuka....ndo maana wanyama na mimea wanashea sifa nyingi za kuwa 'living organisms' ingawa wapo katika 'kingdoms' mbili tofauti.
NB. Kukariri hakujawahi kumwacha mtu salama

-thinkpad-
 
Kama ndivyo basi kwamba tuzingatie order ni nani kati ya ngombe, binadamu,mjusi, samaki , jongoo na amoeba ana qualify kuitwa myama?
 
Sisi tutafika hizi level sijui lini
Hao tai au njiwa au kasuku kutumiwa kwa mambo ya kijasusi sio tech mpya. Mamia kama sio Maelfu ya miaka iliyopita wameshatumika sana kutuma ujumbe wa siri au kufanya upelelezi na kutoa nofication au alarm penye hatari.
 
Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa na Israel kufanya ujasusi katika kanda hiyo .

Njiwa ni mstaarabu sana, ni vyema kurekebisha kichwa cha thread yako. [HASHTAG]#mod and moderators[/HASHTAG] kuna tofauti kati ya njiwa na tai.
 
Biology umesoma wewe !!? Kama ndio ndege yupo kingdom gani? ukishindwa endelea na masomo yako uliyoyasoma ya MWANAMUTAPA EMPIRE na usichangie tena mada usiokuwa na utaalamu nazo
😱😱😱😱😱
😀
 
View attachment 559381

Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini Syria

huyu nilimuona hapa mwanza

Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa na Israel kufanya ujasusi katika kanda hiyo .

Ndege huyo anasemekana kuonekana maeneo ya Idlib karibu na mpaka wa Uturuki.

Vikosi vya upinzani vilimuua ndege huyo kwa risasi baada ya kugundua kuwa alikuwa anapaa na kuzunguka eneo moja katika kanda hiyo .

Ndege huyo alikuwa amewekwa kamera na vifaa vya uchuguzi katika mwili wake .

Syria imekuwa ikikumbwa na vita kwaa miaka 6 sasa .

Source: Syrian opposition shoot down Israeli 'spy' bird near Turkish border
 
Attachments

  • 20170614_180509.jpg
    20170614_180509.jpg
    103.1 KB · Views: 79
waisrael ndio wanaongoza kwa kuua watu...moto wa jehanam unawasubiri
tuwaombee watumbu dhambi wasamehewe, rip sadam husein na muamar Qadaf, sijui kama walipata fursa ya kujutia dhambi zao
 
Mashariki ya kati kutumia ndege hao hasa tai kijasusi ni kitu common sana na ndo maana wakamstukia,kule sio kitu cha ajabu kivile
 
Mashariki ya kati kutumia ndege hao hasa tai kijasusi ni kitu common sana na ndo maana wakamstukia,kule sio kitu cha ajabu kivile
 
Back
Top Bottom