Espionage: Tai wa ujasusi apigwa risasi nchini Syria

Tz iko vzr kuliko hata uijuavyo..... usidhani kua hatumendewi ila tunajua kuwadhibiti tena kimya kimya..... Usiichukulie poa Tz yetu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mh kimyakimya....!!!!!???
 
Sisi tutafika hizi level sijui lini
Tuna panya wa SUA wale wanategua mabomu, tumesha export kwa nchi kadhaa ziliwahitaji. I hope tutakuwa na panya wa kutega mabomu na kujitoa mhanga ikibidi.
Tuna wale kunguru wa Zenji/ Dsm wale weusi, they're so intelligent.
Unaweza anzisha ka organization chako ukaajiri wataalam wakawakamata wawachunguze, ikiwezekana uuzie serikali. Business opportunity iyo.
 
Okay good
 
humu kuna watu ni wagonjwa, et israel wako vzr, sijaona cha ajabu hapo

syria ndo wako vzr, inahitaji akili kubwa kuwa na wasiwasi na ndege ambaye n kawaida kuwa angani.
jamaa ni noma wamemjuaje huyo afande koplo njiwa
 
Back
Top Bottom