munjy1
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 564
- 139
wanajamii, sokoni ni gari aina ya suzuki escudo Automatic gear ya milango mitano, gari ipo zanzibar na ililipiwa ushuru FULL na haiina tatizo la aina yeyote lile, naweza kusema it was and it is still well taken care of, haina milio yeyote ya ajabu kuanzia katika engine mpaka matairi kama escudo nyengine ambazo zishachoka.
if i am not wrong ni ya 1998 ila ilikuja kutoka japan nakumbuka 2008-2009 mimi ndio first owner wa hii gari
Niliinunua bandarini jamaa alishindwa kuilipia ushuru.
Road licance yake inakwisha tarehe 6 February 2013. unaeza kuja kuiona zanzibar na pia ninaweka picha zote pamoja na lebo yake katika engine, kwa wale ambao wanataka escudo ambazo ni fully economic katika unwaji wa mafuta basi hii ndio yenyewe ambazo kwa huku zanzibar zimebakia kidogo sana ambazo ni condition nzuri, u wont be disapointed na hii gari na bei yake.
BEI NI TSH MILIONI 7.2 MAELEWANO PIA YAPO (0773 044 899) kwa mawasiliano zaidi piga namba hiyo