Suzuki Escudo 5 Doors inauzwa

Suzuki Escudo 5 Doors inauzwa

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
6,544
Reaction score
9,041
Nauza gari hii aina ya Suzuki Escudo maarufu kama punda.
.Reg. No. CBH XXX
.Rangi: Black/Dark
.Odometer:129000
.Trans: Auto
.Mwaka iliyotengenezwa: 1996
.Mwaka iloingizwa nchini:2013 imeingizwa kutoka Japan;
.Tatizo la kiufundi: Haina tatizo lolote la kiufundi, iko katika hali nzuri kabisa; kwani imeendeshwa kwa nadra sana.
.Sababu za kuuza: Ni maamuzi binafsi katika kukabiliana na changamoto za kimaisha
.Imelipiwa kodi zote kwa ukamilifu
.Bei Tsh. 10.5M
Mawasiliano: pm au 0754932423
 

Attachments

  • 20140928_103430.jpg
    20140928_103430.jpg
    416.3 KB · Views: 424
  • 20140928_103359.jpg
    20140928_103359.jpg
    359.4 KB · Views: 398
  • 20140928_103321.jpg
    20140928_103321.jpg
    336.9 KB · Views: 378
Kukabiliana na changamoto za kimaisha kwa bei hiyo huwezi.Funguka zaidi mkuu,hata 6m ukipata kukabiliana n a changamoto za kimaisha inafaa.
 
Ushauri wa bure hapo juu,hizi gari zilipendwa sana wakati kuna utata wa njia mjini ndio baadae watu wakahamie kwenye helly hensen.
10m ni kubwa sana,yaani ukienda Yard unaipata kwa bei hiyo mpya kikwetu kwetu.
 
Ushauri wa bure hapo juu,hizi gari zilipendwa sana wakati kuna utata wa njia mjini ndio baadae watu wakahamie kwenye helly hensen.
10m ni kubwa sana,yaani ukienda Yard unaipata kwa bei hiyo mpya kikwetu kwetu.
Duh nimecheka sana. Kwa hiyo siku hizi huko bongo hakuna matatizo ya barabara siyo? Lami kila kona. Kumbe le profesa amefanya kazi kubwa sana huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom