Escrow: Wale waliochukulia Stanbic hawafahamiki; watarudisha kweli?

Escrow: Wale waliochukulia Stanbic hawafahamiki; watarudisha kweli?

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2016
Posts
2,635
Reaction score
2,303
Ngeleja kaonyesha mfano! Kwa kuwa yeye ya kwake alichukulia mkombozi bank! Hivi wale wasiofahamika na waliochukulia Stanbic Bank watarudisha kweli?
 
Ngoja waje

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ngeleja kaonyesha mfano! Kwa kuwa yeye ya kwake alichukulia mkombozi bank! Hivi wale wasiofahamika na waliochukulia Stanbic Bank watarudisha kweli?
Ruge za kwake alipitisha Mkombozi, kama kulipa naona aliwagawia wameanza kumsaidia. Za Seth alipitisha stanbic ataongea nao mwenyewe wakiamua watamsaidia kulipa au alipe zote peke yake.
 
Zile zinaitwa pesa za rumbesa zitabaki kujulikana kama pesa za rumbesa hakuna namna ya kuya fukua hayo makaburi !!!
Apo ndio mammlaka inapo zima yenywe bila kuzimwa !!!
Maana hakuna namna !!!
 
Stanbick Bank hawajui nani walibeba pesa kwa Rumbesa, salfeti, magunia, mabox etc?

CCTV haikuonyesha???

Hivi wanachukulia Watanzania ni mbumbu mbu sana? au waoga sana

Na ukihoji kitu, unakamatwa?
 
Ruge za kwake alipitisha Mkombozi, kama kulipa naona aliwagawia wameanza kumsaidia. Za Seth alipitisha stanbic ataongea nao mwenyewe wakiamua watamsaidia kulipa au alipe zote peke yake
OK! Hapa nimeanza kukuelewa. Kumbe hapo ni za Ruge ndo tunajua waliokula! Bado za singasinga! Ngoja movie iendelee
 
Zile zinaitwa pesa za rumbesa zitabaki kujulikana kama pesa za rumbesa hakuna namna ya kuya fukua hayo makaburi !!!
Apo ndio mammlaka inapo zima yenywe bila kuzimwa !!!
Maana hakuna namna !!
Ila Ngeleja kama mpira kauchezesha vizuri sana!
 
Back
Top Bottom