Escrow: Wale waliochukulia Stanbic hawafahamiki; watarudisha kweli?

Escrow: Wale waliochukulia Stanbic hawafahamiki; watarudisha kweli?

Labda kama wakiambiwa watakuwa mawaziri, maana aliyerudisha ana nia hiyo!
 
Jaman;
Inamaana mnaishurutisha serekali kuwanyang'anya watu mali zao?? Mbona mtangulizi wake alisema hadharani kuwa ile fweza ni ya watu binafsi?? Mnataka mtu afanye nini ili mjue kuwa zile fedha ni za Ruge na Sethi??
Ngeleja alipotea njia. Amrudishie Ruge hela yake asiseme ati dhamira imemsuta. Ukae na 40m mwaka mzima dhamira ndo ianze kukusuta?? Amwendee Ruge amuombe msamaha kwa kukaa na fedha yake. Amrudishie Ruge fedha yake.
 
Jaman;
Inamaana mnaishurutisha serekali kuwanyang'anya watu mali zao?? Mbona mtangulizi wake alisema hadharani kuwa ile fweza ni ya watu binafsi?? Mnataka mtu afanye nini ili mjue kuwa zile fedha ni za Ruge na Sethi??
Ngeleja alipotea njia. Amrudishie Ruge hela yake asiseme ati dhamira imemsuta. Ukae na 40m mwaka mzima dhamira ndo ianze kukusuta?? Amwendee Ruge amuombe msamaha kwa kukaa na fedha yake. Amrudishie Ruge fedha yake
Tulia kijana tuone sterling wa hii movie atauawa mbele au ndo movie imeishia hapo
 
Nani kasema hawafahamiki? Sethi anawajua mbona labda abebe zigo kwa niaba yao

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Mkullu alishasema yeye ndio anajua siri zote za nchi hii, ila ujasiri wa kufukuwa makaburi ya walompa kiti ndo hana kama ya walotufikisha kwenye makinikia.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Wanafahamika kabisa. Kwanza tungeanza na hao kuliko hawa waliofahamika na wao wenyewe kukiri

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
QUOTE="Musoma Yetu, post: 22179163, member: 357121"]Ila Ngeleja kama mpira kauchezesha vizuri sana![/QUOTE]
Ila tujiulize maswali kidogo. Je karudisha kwa vile dhamira yake inamsuta au kwa kuogopa kuhusishwa na kashfa ya ESCROW? We know for sure, the guilty are afraid!
 
Fisadi Rugemarila wa kashozi lazima atakuwa anawajua wote aliowapa mgao, aminywe kende atawataja tu.

Ngeleja kaonyesha mfano! Kwa kuwa yeye ya kwake alichukulia mkombozi bank! Hivi wale wasiofahamika na waliochukulia Stanbic Bank watarudisha kweli?
 
Singa singa uko wapi nikurudishie hela zako maana nasikia harufu ya keko

Sent from my Nokia katochi using Jamii Forums Mobile App.
 
Ukoo wa panya

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Stanbic kunana mtt wa mkubwa alitaka kuchinjwa China kwa madawa ya kulevya, hiyo bank ni ya China, hivyo kuna makubaliano fulani fulani.
 
Wanajulikana kabisa hata wa simba trust wanajulikana, ni suala la muda tu wataanikwa very soon.
 
Fisadi Rugemarila wa kashozi lazima atakuwa anawajua wote aliowapa mgao, aminywe kende atawataja tu
BAK umenichekesha sana!! Si wanasema za kule Stanbic mpitisha mgawo alikuwa sing.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom