Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,635
- 2,303
- Thread starter
- #61
Yaani patamu sana hapo! Mi ntaamini kama joka litarudishaMAKINIKIA( Trillions+).
Picha inazidi kunoga. CCM watajuta kwanini huyu jamaa walimpendekeza kuwa mgombea a Urahisi ilhali alikuwa hana sifa za kuingia Ikulu? Ngoja sasa awashikishe adabu wakome na wakomae!!!