Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

Wakiweka hayo ya stanbic bank ccm inasambaratika karibia wagombea wao wanaotajwa wa urais woote wamo isipokuwa manywele tu
 
Tena wewe wa kwanza kabisa hahahahah mtafanya watu waogopane jamani. Akitokea mtu ana dawa ya kuficha majina lazima awe tajiri hapa chezea tz na imani za kishirikina

Si hata wewe unaona wanakemea watu wengine wasiue Albino lakini vidole vyao vya mikononi vimejaa mapete ya hao waganga wa jadi!
 
Wakiweka hayo ya stanbic bank ccm inasambaratika karibia wagombea wao wanaotajwa wa urais woote wamo isipokuwa manywele tu

Manywele yeye alishapata kikombe chake cha Richmond hana taabu! wapo waliogawana nyumba za serikali kama vile Nyerere aliwajengea wao! hawa watu ni waizi wakutupwa! na wala hawajali!
 

Kwenye uzi wangu wa kudai meli yetu Kagera......nilisema tutaitangaza Stanbic kuwa adui mkubwa wa Tanzania.
 
Wewe mburula hizo ni ndoto za mchana; hakuna benki ya kimataifa kama ilivyo Stambic inayotoa taarifa za wateja wake !!!! Ni hizi benki uchwara kama Mkombozi ndio zinaweza kulazimishwa kutoa siri hizo!!!
Tena usiombe ukaota ukiwa umeshiba.?
 
Stanbic ndio huko kina Mbowe inasemekana walichukulia mgao wao!?

sio kina mbowe tu hata familia ya mkuu wa kaya imo ndio mana wanaminya isitajwe hiyo mambo ya STANBIC hali ya hewa itachafuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…