Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

Porojo hizo.

Hakuna bank duniani inayoweza kufanya hivyo kwa kuwa tu wakubwa zake wameamua.

Labda ungesema wavujishe au wapewe maagizo ya kmahakama kufanya hivyo.

Sheria na kanuni za bank si kama za Ufipa. Kumbuka hilo.
 
puuuuuumba hizo.hebu jaribu kukaa mahali peke yako then tafakari ulichoandika hapa kwa muda na utulivu utapata majibu kuwa hazikutoshi.usiwe na papara kunijibu we jitulize tu.

nguruwe pita tu leo sina mkuki!!!
 
Porojo hizo.

Hakuna bank duniani inayoweza kufanya hivyo kwa kuwa tu wakubwa zake wameamua.

Labda ungesema wavujishe au wapewe maagizo ya kmahakama kufanya hivyo.

Sheria na kanuni za bank si kama za Ufipa. Kumbuka hilo.

Kwamba Sheria hizo pia zinaruhusu Mabenki KUTAKATISHA PESA!!??!! KOJOA UKALALE
 
Mbona list ipo? Pinda, Lukuvi, Chikawe, Nchemba, Wassira, Membe, Masaburi, January, Nahodha, Lusinde aka Mtalimbo ibin kibajaji, Mshana, Nchambi, Sitta, Makinda, Mwakyembe, Magufuli, Nape, Makonda...List ndefuu
 
Wahuni hao, wanasubiri wayataje majina tarehe 1 (siku ya 'wajinga') ili yakose nguvu ya kuaminika. Wayataje kabla ama baada ya tarehe hiyo 1 April.
 
Mbona April Mosi haijafika? Au fools day imehamishiwa march?
 
Porojo hizo.

Hakuna bank duniani inayoweza kufanya hivyo kwa kuwa tu wakubwa zake wameamua.

Labda ungesema wavujishe au wapewe maagizo ya kmahakama kufanya hivyo.

Sheria na kanuni za bank si kama za Ufipa. Kumbuka hilo.
Inaelekea hujaelewa VUTA-NKUVUTE alichosema, kwa kifupi ni kwamba Stanibic watafanya kama walivyofanya Mkombozi Bank kwakutoa list ya miamala. Cha ajabu kiko wapi hapa au kwani kuna mtu alikwenda mahakamani kudai miamala ya Mkombozi?
 
Wasije tu wakaficha majina haya itakuwa aibu kwa benki hii milele!

Mkuu hii benki ina dinda kutokana na ubwege wetu watanzania ipo nafasi ya kuishinikiza kwa kususia huduma zao na wenye a/a kuamisha pesa zao hayo yakifanyika hayo majina wataya-yaachia
 
April 1 is FOOLS DAY

I don't believe this news
 
Nina hofu na trh ya mwisho yaani 1_4 kila mwaka ni ckk ya....... fanyen baadae ama kabla ya hiyo trh maana naogopa ujumbe wa ukweli kuchukuliwa powa
VUTA-NKUVUTE anaweka mazingira ya kuja na uzi wenye majina ya watuhumiwa atakayoyabuni yeye! hahahah!!
 
Siku Hayo majina yanawekwa hadharani naamini na bendera ya CCM itapepea nusu mlingoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…