Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

siasa tu unapiga.hakuna kitu kama hicho.take it from me
 
Somalia imekua majuu?
 
Nina hofu na trh ya mwisho yaani 1_4 kila mwaka ni ckk ya....... fanyen baadae ama kabla ya hiyo trh maana naogopa ujumbe wa ukweli kuchukuliwa powa

soma vizuri......(.......'kabla ya' trh 1 April)
 
Ndio maaana nikasema iwe kabla ama baada ya hiyo trh maana ni isue ya wazt wanaweza tuzuga
 
1.Pinda

2.Muhongo

3.Maswi

4.

5.Jakaya family

6.

Maccm kwa Wizi ayajambo
 
Kufufuliwa upya sasa kwa kesi ya Anglo leasing ya Kenya miaka zaidi ya kumi tokea ilipoamuliwa kesi ya msingi kunanipa matumaini kuwa haya yanayofukiwa kwenye hizi kesi za kifisadi kuna siku yatafunuliwa...

Amina

Ni kweli mkuu kesi haiozi.
 

Hivi tumekosa wadukuzi kweli? Au tangu yule jamaa wa wikileaks atiwe kashkash ndo news hazifukunyuliwi tena
 
stambic nimo,nilipokea mifedha kwa ajili ya kusaidia watu wangu wa Rorya.Na baba yangu pia yumo,na kaka yangu mkuu.
 
watajwe woteeee hao wadau wa stanbic otherwise tuta assume CCM ndio imekomba pesa kwa maana ni desturi ya ccm kuiba pesa ndefu uchaguzi ukikaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…