Wakuu kama washauri wa Mtukufu Mhs Dr. Prof Kikwete wamesoma basi hawajaelimika!
Kama washauri wa Mtukufu Mhs Dr. Prof Kikwete ktk swala zima hili wamesoma basi itabidi tuulizie ni shule zipi na wapi wamepata hii elimu!
Kama washauri wa Mtukufu Mhs Dr. Prof Kikwete wamesoma na kufanya kazi na kuwa na uzoefu ktk shughuli zao, basi inabidi tujue huo uzoefu wameupata kwa kufanya shughuli zipi nk!
Sasa basi nirudi kwenye issue hii:
Kuna kitu kinaitwa ''KUJIFUNGA MAGOLI KATIKA MCHEZO WA MIPIRA'' Kwa hiyo kama hao washauri wa Mtukufu Mhs Dr. Prof Kikwete watamshauri kumpeleka huyu mama Anna TIBAIJUKA mahakamani basi kutuakuwa na sababu mbili, nazo ni kama ifuatavyo:
1. Labda wana njama au siri ya kumuacha Mtukufu Mhs Dr. Prof Kikwete kwenye MATAA ili mwisho wake IWE ni kichekesho ktk historia ya marais waliopita.
2. LABDA maskini elimu yao inaongozwa na uroho wa sifa pamoja na matumbo yao ambayo hayashibI badara ya KUONGOZWA NA taaluma ZAO.
MWISHO: Hivi nyie wakina Spika and company mnaofikiri kuchafuliwa kwa mama Tibaijuka kutwasaidia labda kupitisha majina yenu ili kugombea uraisi itawasaidia? Inabidi kufahamu kuwa nchi ilipofikia mtu kama Spika huwezi kuiongoza Tanzania ya leo. Hiyo sahau, na ndiyo maana hata Mtukufu Mhs Dr. Prof Kikwete unaona yanayompata masikini!
Ikumbukwe kumchukia mama Anna haitakusaidia kamwe. She is an international figure already, hivyo unafiki peleka huko kwenu mikoani lkn muacheni mama wa watu kwani kama amekosa ni makosa ambayo hayawezi kulinganishwa na yanafaonywa na hao ndugu zenu. Kumbuka hii issue mwisho wake labda inaweza kuwa mwisho wa yote ambayo Mzee wetu Nyerere aliyaeleza pale Dodoma wakati aliitwa ili awasaidie kuwaeleza ni candidate wa namna gani NEC iwachagulie wana CCM.
.