Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Kubenea anahangaika sana. Fedha za Reginald Mengi alizolamba kushinikiza Muhongo afukuzwe anaona kuwa zinataka kumtokea puani
Nikiona comment zako nasikia kinyaa
Kubenea anahangaika sana. Fedha za Reginald Mengi alizolamba kushinikiza Muhongo afukuzwe anaona kuwa zinataka kumtokea puani
Ni kweli Mkuu. Nawashangaa kuna wehu humu wanashupalia sana hoja ambazo hazipoJk hausiki kabisa
..... Mtu anaye omba kila siku huku nchi yake ikiwa imekalia rasilimali kibao unategemea atakua na haya juu ya UFISADI
Hatuwezi kuishi kwa dhana ilhali ukweli umewekwa bayanaUmdhaniaye siye ndiye
Kumbe una tabia ya kuhongwa eeeeeh!Muhongo amekuhonga sh.ngapi?
Wapi imeandikwa kuwa amekwapua? By the way, hivi Mkulu ana dhiki gani kiasi cha kutumia njia za panya kujipatia mapato?
Na ndo maana serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye mradi wa gesi asilia ili tujitegemee kiuchumi.....
.....Kutembea na bakuli ni aibu sana !!!
![]()
. . . . . . . . . basi ndio ikawa hivyo bhana. .!!!!
Kumbe una tabia ya kuhongwa eeeeeh!
Na ndo maana serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye mradi wa gesi asilia ili tujitegemee kiuchumi
mliompigia kura jk jipimeni akili zenu...
Prof Anna alipewa hela kama zawadi na yeye hakuwa na maamuzi yoyote hama Wizara Fedha, BoT wala Tanesco. Kwa nini yeye tu ndo ashikiwe bango. Kama ni kiasi cha pesa alichopewa mbona Chenge haguswi. Kama Prof Tibaiijuka anasakamwa kwa kuwa ni Mwanamke na ni Mhaya na kwa sababu ya kupewa hela na Mhaya (kaka yake kama alivyosema yeye) basi hapa Wahaya wote tunasakamwa.
Mpango wa sasa, ni kuwakamata baadhi ya waliopewa fedha na James Rugemalira, mmoja wa wamiliki wa IPTL ili kuzima mjadala.
Profesa Anna Tibaijuka, mbunge wa Muleba Kusini (CCM), yumo katika orodha ya wanaotakiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote wiki hii.
Tayari Prof. Tibaijuka amehojiwa zaidi ya mara moja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU), kuhusu Sh. 1.6 bilioni alizopewa na Rugemalira.
Mkakati wa kumfikisha mahakamani Prof. Tibaijuka, unasukwa kwa ustadi mkubwa na waziri mmoja mwandamizi katika serikali ya Rais Kikwete.
Watanaka Prof. Tibaijuka apelekwe mahakamani kwa hoja kuwa, kwa hadhi aliyonayo kimataifa, sakata zima la Akaunti ya Tegeta Escrowlitakuwa limezimwa, anaeleza mtoa taarifa.
Mahesabu mengine ni ngumu hata kwa profesa wa Hisabati.Hivi kweli kabisa mtu mzima anasimama na kuamini taarifa kama hiyo au taarifa kama hiyo eti ni ushauri kwa JK.
Anasema, Lakini nataka nikuhakikishie, kitendo hicho kitasababisha tatizo kukua. Rais Kikwete anafahamu fika Harbinder Singh Sethi wa IPTL kuwa alitokea ikulu kabla ya kukwapua mabilioni ya shilingi kutoka akaunti ya Escrow.
Raisi akitaka kufanikiwa kujitenga na issue hii-anze kuwatosa wabambe wake wa kutokea Ikulu na ajifanye kiziwi awatose wote waliomzunguka hata kama tetesi kuwa familia yake imo-lakini haukuna mbambe anayeweza kudhubutu kumnyooshea kidole.
Pili, hatua ya kumfikisha mahakamani waziri huyo wa zamani wa ardhi, kutasaiidia kumkingia kifua waziri wa nishati na madini, Prof. Sospeter Muhongo na kuzima mjadala bungeni.
Rais Kikwete alimfuta kazi Prof. Tibaijuka katika mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, tarehe 23 Desemba 2014.
Hili itakuwa maajabu ya 2015 na yanawezekana Tanzania tu!
s....h...u...tup kilaza weeee ngoja jk wako aondoke na aone akatavyo umbuukaaaaaKwani kwenye ripoti ya CAG na TAKUKURU kuna mahala amehusishwa Rais KIKWETE?
Ni nini kilikuvutia kwa Padre Mzinifu mpaka ukampigia kura?Mimi nilipigia raisi wetu Dr slaa ccm wakamdhulumu lakini mwaka huu kutachimbika
Heeeeee! Aumbuke kwa lipi? Acha porojo wa kijinga wewes....h...u...tup kilaza weeee ngoja jk wako aondoke na aone akatavyo umbuukaaaaa