Escrow kumuumbua Rais Kikwete

Escrow kumuumbua Rais Kikwete

mliompigia kura jk jipimeni akili zenu...

Umemaliza kabisa. Nikikumbuka kampeni za mwaka 2005, sina hamu. Mijitu tulivyokuwa tunaieleza inatuona waduwanzi. Wengi nikiwakumbusha wanaishia kucheka kwa aibu kama mashoga.
 
Kubenea anahangaika sana. Fedha za Reginald Mengi alizolamba kushinikiza Muhongo afukuzwe anaona kuwa zinataka kumtokea puani
 
Ripoti CAG kikwete anayo ccm na familia ya Jk wanahusika kwenye huu wizi
Mkuu, Ripoti ya CAG ipo humu mtandaoni na nimesoma neno kwa neno sijaona mahala JK amehusishwa. Au mmelewa na porojo za akina Yeriko Nyerere?
 
Sidhani kama Jk alikuwa na nia ya kumfukuza tibaijuka..kelele na minong'ono ya wazee pale ukumbini ndio ilimfukuza prof.tibaijuka..kama kuna mtu anaweza kupata alichokuwa anakisoma(hotuba)atagundua hilo
 
Kubenea anahangaika sana. Fedha za Reginald Mengi alizolamba kushinikiza Muhongo afukuzwe anaona kuwa zinataka kumtokea puani
Dada, hakika suala la ESCROW limeonesha rangi halisi za baadhi ya watu. Kubenea ni mmojawapo
 
Sidhani kama Jk alikuwa na nia ya kumfukuza tibaijuka..kelele na minong'ono ya wazee pale ukumbini ndio ilimfukuza prof.tibaijuka..kama kuna mtu anaweza kupata alichokuwa anakisoma(hotuba)atagundua hilo
Naona inawauma zana mhaya mwenzenu kufukuzwa.
 
..... Mtu anaye omba kila siku huku nchi yake ikiwa imekalia rasilimali kibao unategemea atakua na haya juu ya UFISADI
 
Umemaliza kabisa. Nikikumbuka kampeni za mwaka 2005, sina hamu. Mijitu tulivyokuwa tunaieleza inatuona waduwanzi. Wengi nikiwakumbusha wanaishia kucheka kwa aibu kama mashoga.
Acha uduanzi wewe. Huenda hata hiyo 2005 ulikuwa unanyonya
 
Inavyoelekea kuna mkakati ambao unaendelea ili Tibaijuka aonekane hana hatia. Mbona hawa akina Kubenea hawawataji akina Ngeleja, Chenge na wengine waliokula fedha hizo? Kubenea ni mpuuzi tena amepindukia

Chabruma Ana HATIA kama CHENGE ? au HATIA ya kupewa tu hizo PESA ?

Acha kuendeleza INJUSTICE ndani ya serikali ya nchi yetu... ndio Maana hatuna Maendeleo ni NYINYI hao wachache ndio Mnaofaidika lakini at the end - mtaiharibu nchi salama kama TANZANIA na mtashindwa kuzitumia hizo fedha zenu nchini na nje ya nchi sababu WHAT GOES AROUND COMES AROUND...
 
Tibaijuka mwaga ugali, kwani nini?
Akuanzae mmalize
Shusha tezi dume
 
Back
Top Bottom