Escrow kumuumbua Rais Kikwete

Escrow kumuumbua Rais Kikwete

Ubaguzi wako utakuua kwani Wahaya si Watanzania? Utake usitake wao ni Watanzania na wana kila haki ya kufanya kazi popote vile kama walivyo watu wa makabila mengine. Ushindwe katika uovu wako na tena ulegee!
Mwalimu Nyerere alijiweka mbali na Wahaya na Wachaga. Alijua ni watu wachafu
 
jamani hatujawahi kuwa na rais kama huyu, ni waajabu kupindukia, anawaheshimu waovu, na wala rushwa, wezi, basi na yeye yumo humo, tusubiri amalize urais wake ili Abuluzwe kortini

kwa katiba na sheria gani? Tanzania ya ajabu sn mkuu!
 
Zungu pule suala ni kuwa jk alisema pesa siyo za umma ss yeye anawapeleka mahakamani kwa lipi?
 
Zungu pule suala ni kuwa jk alisema pesa siyo za umma ss yeye anawapeleka mahakamani kwa lipi?
Kwani anayewapeleka Mahakamani ni JK? Na je wanaopelekwa mahakamani ni wanufaika wote wa escrow au wale maafisa wa serikali walioenda kinyume na maadili ya kazi zao?
 
Kwani kwenye ripoti ya CAG na TAKUKURU kuna mahala amehusishwa Rais KIKWETE?

stanbic bank ndio alikojificha kikwete na familia yake alaf uwe unatumia akili kabla hatujaona hiyo ripoti aliipitia rais kwanza je kwa nini hatajapata jina hata moja kutoka sitambic?
 
Amfurahumishe boss wake hili hiweje?anatoa taarifa ambazo zipo very confidentialy unajua how risk it was.
 
Inavyoelekea kuna mkakati ambao unaendelea ili Tibaijuka aonekane hana hatia. Mbona hawa akina Kubenea hawawataji akina Ngeleja, Chenge na wengine waliokula fedha hizo? Kubenea ni mpuuzi tena amepindukia

kwa taarifa yako kama hujitambui basi hakuna mpuuzi mwehu kama ww anaetafutwa sana na ukiingia kwenye..... za wajuba utulie tu usipige kelele. hiyo ndo itakuwa posho na dawa yako.
 
sisi kina gogo la shamba tulishasema kwamba,maadam Kikwete alipuuza mawazo tuliyompa hawezi tena kuepuka kikombe hicho,yeye na familia yake yote,aelewe kwamba mwisho wa maisha yake hayato kuwa tofauti na Sadam au Gadafi karata yake moja iliyobaki ni
1. kuamuru kutoka kinywani kwake kwamba wale wote waliotoa na waliopewa fedha za Escrow wazirudishe na baadae mahakamani
2.Nyumba zote za uma zirudishe
3.shule bure
 
Endelea kusubiri hapo hapo usiondoke siye tunakwenda na jk kuendelea kuwatumikia watanzania wanaoipenda nchi yao.
 
kwa taarifa yako kama hujitambui basi hakuna mpuuzi mwehu kama ww anaetafutwa sana na ukiingia kwenye..... za wajuba utulie tu usipige kelele. hiyo ndo itakuwa posho na dawa yako.
Usilete ukibaka wako hapa kamtishe yule demu wako ambaye pia ni mtoto wa shangazi yako lakini huwezi kuja kumtisha mtu mzima na utashi wake hapa jf kwenda zako.
 
Haa nadhani tibaijuka anaonewa Bure tu wawakamate wakina habinder sigh kwani hata muhongo nadhani hausiki ktk Muda aliokaa madarakani haiwezi kuwa rahisi kuchonga deal la Aina hiyo
 
Back
Top Bottom