Errors in genesis

Errors in genesis

Mimi huwa najiuliza mtu mwenye akili timamu anawezaje kuamini theory za Charles Darwin kuhusu evolution maana karibu zote zimeprove failure hata kwa scientists wenzie.Na kwa miaka hii zote zimekuwa old school.

mkuu huu ni ulimbukeni wa kutaka kujifanya huko tofauti na watu. Darwin hajafanikiwa katika chochote alichokisema.
Hata einstain anayemuamini Theory yake ya speed of light imekuwa proved wrong juzi tu.

Cha ajabu mambo ya Mungu ya Imani Hadi kesho akitaka yeye au sasa hivi hapo alipo anaweza kufanyiwa vitu akawa mdogo.
 
Watu wa dini waliojaa ghadhabu na hasira, ni bora ya walevi kumi.

Hivi wewe wa wapi?
Ulitaka nijibuje?
Hapa tunaongelea uwepo wa Mungu siyo dini.
Dini na Mungu ni vitu viwili tofauti.

Belief is part and parcel of philosophy.
Its simply metaphysics.

Usipende kurukia mambo yasiyo kuhusu wewe,
Wanawake wenzako wanakuwa hadi Makamu wa raisi wewe unakuja kuvamia watu USIOWAJUA.
UMEVURUGWA WEWE.

MOFO.

wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Studying and interpreting the Bible is a sacred occupation. Ellen White points out,
?all who handle the word of God are engaged in a most solemn and sacred work.?1 The
work is not an end in itself, but the insights obtained are to be shared with those who are
in darkness so that they may walk in the path leading to salvation.2
Only through careful research in the Bible can an understanding of the principles
and methods governing its interpretation be obtained. Concepts such as the unity of
Scripture and the analogy of Scripture principle become self-evident as a result of
investigating Biblical literature. Ellen White writes that ?the searching of the Scriptures?
will ?reveal the harmony existing between the various parts of the Bible, and the bearing
of one passage upon another
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

Mwanzo 1:9-13

mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

labda nikurahisishie swali, are the believer of bing bang theory, what is your belif/belief system?

Lengo ni kupata angle nzri ya kubadilishana maarifa
 
How can somebody give you experimental result in JF. If you have locked your mind not to listen views of your teachers who are now converted.

Nazidi kujiuliza kama unaielewa hata Principle ya RELATIVITY ya EINSTEIN. Maana majibu yako yanaonyesha einstain ulimsoma wikipedia.

are you really normal bro?

relativity theory,either special or general has nothing to do with this stuff here
if you have offered a link of the so called ex-evolutionist,how can you fail to give me another link which has experimental result?
What i demand from you is result and not experiment itself

by the way,you shock me,can you tell me even single difference between someone who knew about Einstein through wikipedia and the one who knew him from his insructors?

no matter where you have found the information,if it valid there is no problem on that.
 
labda nikurahisishie swali, are the believer of bing bang theory, what is your belif/belief system?

Lengo ni kupata angle nzri ya kubadilishana maarifa

mkuu MANURE, I accept "big bang theory" despite it's failure is some situation..
 
are you really normal bro?

relativity theory,either special or general has nothing to do with this stuff here
if you have offered a link of the so called ex-evolutionist,how can you fail to give me another link which has experimental result?
What i demand from you is result and not experiment itself

by the way,you shock me,can you tell me even single difference between someone who knew about Einstein through wikipedia and the one who knew him from his insructors?

no matter where you have found the information,if it valid there is no problem on that.

RELATIVITY mkuu ni pana sana. Imekuwa reduced to non- physics, katika determination of truth and facts, or differentiating facts from truth.
sasa kwa law hii hii haikuitaji kuwa na limited mind katika the so called perceived truth from sources you believe. Unatakiwa ili what you belive to be more solid uweze kurelate different related multiple sources ufanye unachokiamini kiwe kizito kidogo.
"ndio concept ya mimi kuiingiza hiyo theory" Nimekupa source ya ex-revolutionist kama one of the input ya unachokiamini ili ikusaidie kujustfy unachokiamini umekataa hata kuisikiliza.

Ndio maana angekuwa einstain mwenyewe amekwambia nilichokutaka ufanye ukakataa angekushangaa kana ninavyokushangaa ulivyokalili "relativity theory".
 
You are saying that you accept the big bhang theory even though you know its a lie? Is this a joke?

no sir,you are mistaken.

there is no scientific theory which is 100% accurate and this is true for any theory even creationism,and lie is quite different from failure

lie by definition is false statement intended to decieve but failure is simply lack of success
 
You are saying that you accept the big bhang theory even though you know its a lie? Is this a joke?

PITIA HAPA UNDEBETABLE LIE OF BING BANG THEORY AND THE GEOLOGICAL PROOF OF THE BOOK OF GENESIS.
TANGIBLE EVIDENCE OF EVEN WORLDWIDE FLOOD OF NOAH WHICH ALL FRIENDS OF YOURS(BING BANG THEORISTS) DISAGREE.

THE PROOF OF WAHT IS WRITTEN IN GENESIS. ARCHELOLGICAL/GEOLOGICAL PROOFS.

YahTube: Walter Veith - What Do the Rocks Reveal?
YahTube: Walter Veith - More Fossil Secrets Unveiled
YahTube: Walter Veith - The Fossil Record Speaks
YahTube: Walter Veith - The Spade Unearths the Truth

Ukikubali kuwa mnyenyekevu kusikiliza na kuangalia evidences zilizomo humo utakuwa umefanya uamuzi wa pekee ambao hauta juta maishani mwako.

umetaka evidence/ hapa sio mahala pake maana unatakiwa uonyeshwe weakness ya bing bang theory/models zake zote pia utulie uonyeshe geological evidence in picture and videos of what was written in Genesis.

mkuu tuko pamoja
 
anayekufundisha hayo was was a university proffessor teaching what you now belief.
 
Hivi wewe wa wapi?
Ulitaka nijibuje?
Hapa tunaongelea uwepo wa Mungu siyo dini.
Dini na Mungu ni vitu viwili tofauti.

Belief is part and parcel of philosophy.
Its simply metaphysics.

Usipende kurukia mambo yasiyo kuhusu wewe,
Wanawake wenzako wanakuwa hadi Makamu wa raisi wewe unakuja kuvamia watu USIOWAJUA.
UMEVURUGWA WEWE.

MOFO.

mkuu hapa hatuongelei uwepo wa Mungu bali tunaexamine errors zilizopo katika genesis(kama ni errors kweli)
 
Lakini kuna mambo mengi ktk Genesis ambayo ni uchafu mtupu
 
Mi nataka nieleweshwe kisayansi, how can something come out of nothing?
 
Back
Top Bottom