Errors in genesis

Errors in genesis

Mkuu hizo error ulizozibainisha zinachekesha:# Kwa nini unataka MUNGU awe na mawazo kama ya mentor wako?? Hivi Musa alipopiga mwamba ukatoa maji ni Newton law ya ngapi?? Au ni Archimedes Principal ipi?? Hivi chuma cha shoka kilipozama kwenye maji Eliya nabii akatupa kijiti kwenye maji na kile chuma kikaelea ni Thermodynamics ipi ilikuwa applied?? Na upthrust ilikwenda wapi? Angalia maswali unayoulizwa kwenye Ayubu 38:na 39 Kidogo na chapter 40.yanakuhusu sana wewe na wote wenye kuunga mkono blasphemy?
 
Mkuu mimi binafsi nilishawahi kufanya kazi madhabauni kwa kipindi fulani, hivyo haya mambo yako tofauti sana na wengi wanavyodhani sema ndo hivyo hawaambiliki nabaki nawaangalia tu maana wengi ni wakristo wa jumapili

well said PETER!

hayo ndiyo matatizo ya heresay,mtu anashindwa kufikiri bali anasubiri kuambiwa tu.
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
mungu alitenga nuru na giza,nuru akaiita mchana na giza akaliita usiku, sasa nuru na giza vilikua vimechanganyikana vikaunda nini sasa kabla ya yeye kuvitenga??
 
Mkuu Unayejiita Einstein Newton, Hebu Nisaidie. Ni Kitu Gani Kinatengeneza Giza Ama Nini Chanzo Cha Giza?

giza ni imaginary entinty.
ni neno tunalolitumia sisi wanadamu kuwakilisha hali iliyopo baada ya mwanga kutoweka

darkness is absence of light in short and not opposite of it
 
supenatural kivipi mkuu?,kila kitu kipo wazi
kitabu cha mwanzo kimeandikwa kwa kufuata misingi ya nadharia za zamani ndiyo maana kimejaa makosa

kwa mfano,Mungu alimuumba adam kwa udongo,

umeshawahi kujiuliza kwanini alitumia udogo?

kulingana na four elements theory ya aristotle,udongo/soil ni basic element

lakini four element theory ni toothless kwa sasa baada ya idea ya dalton.
mi najiuliza alimuumba kwa kutia udongo, huo udongo nae aliuumba pia au aliutoa wapi?
 
mungu alitenga nuru na giza,nuru akaiita mchana na giza akaliita usiku, sasa nuru na giza vilikua vimechanganyikana vikaunda nini sasa kabla ya yeye kuvitenga??

teh teh teh

kabla ya hapo mkuu,inabidi ufahamu maana giza

giza si kitu halisi,bali ni kinyume cha mwanga

sasa huwezi kupata mchanganyiko wa giza na mwanga...hii ni logically unsound

giza hutokea tu kama mwanga haupo,na mwanga hutokea kama giza halipo na kamwe havicoexist
 
teh teh teh

kabla ya hapo mkuu,inabidi ufahamu maana giza

giza si kitu halisi,bali ni kinyume cha mwanga

sasa huwezi kupata mchanganyiko wa giza na mwanga...hii ni logically unsound

giza hutokea tu kama mwanga haupo,na mwanga hutokea kama giza halipo na kamwe havicoexist
mi naelewa hivyo ndio maana nauliza, eti anatengaje nuru na giza, sasa kama hakuna nuru wala giza kulikua na nini sasa?
 
mi najiuliza alimuumba kwa kutia udongo, huo udongo nae aliuumba pia au aliutoa wapi?

thus why i said that,total story of creation as described by genesis is quite tale

kitu cha kwanza kilichokuwepo kabla ya uumbaji ni maji,lakini maji yaliuumbwa siku ya ngapi kama vyote viliumbwa ndani ya siku saba?

nirudi kwenye swali lako,hakuna sehemu yoyote katika biblia inayosema kuwa Mungu aliuumba udongo.labda wakristo watujuze
 
upo sahihi mkuu HOSHEA,dini zilivumbuliwa na wanadamu ambao walikuwa wavivu wa kufikiri

Mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea asili ya mwanadamu,atakwambia kuwa Mungu alimuumba

mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea chanzo cha maisha,atakwambia kuwa Mungu aliyaumba

yaani kila kitu wana kiattribute kwa mungu kwasababu ya uvivu wao wa kufikiri.

mkuu naomba maelezo ya asili ya mwanadamu,yasiyo na uhusiano na imani za kidini.
 
mi naelewa hivyo ndio maana nauliza, eti anatengaje nuru na giza, sasa kama hakuna nuru wala giza kulikua na nini sasa?

author wa kitabu cha mwanzo ni Musa
Musa alikuzwa na imani za misri ya kale/ancient egypt.

wamisri na wagiriki wa kale,waliamini kuwa giza ni element ambayo ni kinyume cha mwanga
waliregard giza kama kitu halisi

sasa usishangae ukikutana na vitu kama hivyo katika biblia,kwasababu biblia imejengwa juu ya nadharia na imani potofu za kale
 
Huyu anajichanganya. Anasema dini ni laana. Kumbe anaamini laana. Je, nini tafsiri ya laana na ni nani anayesababisha laana ifanye kazi?
 
author wa kitabu cha mwanzo ni Musa
Musa alikuzwa na imani za misri ya kale/ancient egypt.

wamisri na wagiriki wa kale,waliamini kuwa giza ni element ambayo ni kinyume cha mwanga
waliregard giza kama kitu halisi

sasa usishangae ukikutana na vitu kama hivyo katika biblia,kwasababu biblia imejengwa juu ya nadharia na imani potofu za kale

Huu ni uwongo usio na kifani.
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

Wewe unaamini nini?
Hivi ni wapi biblia imekuwa in harmony with science?

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

Religion is not science wewe,
Quit living in a fish bowl.

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

Wewe ni mvivu kama walivyo wajinga wengine.
Kwenye kitabu cha Ufunuo Biblia inasema Jua na Mwezi havitakuwepo tena na Nuru ya Ulimwengu itakuwa ni mwana kondoo.
Sasa wewe utasemaje chanzo cha mwanga ni jua na mwezi tu?
Soma biblia yote acha kufuata mikumbo.

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

Hivi mbona huulizi why Jesus turned water into wine?
How can you explain that scientifically?

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Soma tena Biblia na kuelewa chanzo cha mwanga ni Mungu mwenyewe kwanza.

Sifa moja ya kuwa Critical thinker ni lazima uwe msomaji mzuri wa mambo.
Wewe umekariri mistari michache unakuja hapa kuleta ujinga.
Hivi hiyo biblia umeisoma yote?
Kwanza tangu lini imani na sayansi vikapikwa chungu kimoja?


 
Publications Creation
Contents
Chapter 3
What Does Genesis Say?
1 AS WITH other things that are misrepresented or misunderstood, the first chapter of the Bible deserves at least a fair hearing. The need is to investigate and determine whether it harmonizes with known facts, not to mold it to fit some theoretical framework. Also to be remembered, the Genesis account was not written to show the "how" of creation. Rather, it covers major events in a progressive way, describing what things were formed, the order in which they were formed and the time interval, or "day," in which each first appeared. (question)
2 When examining the Genesis account, it is helpful to keep in mind that it approaches matters from the standpoint of people on earth. So it describes events as they would have been seen by human observers had they been present. This can be noted from its treatment of events on the fourth Genesis "day." There the sun and moon are described as great luminaries in comparison to the stars. Yet many stars are far greater than our sun, and the moon is insignificant in comparison to them. But not to an earthly observer. So, as seen from the earth, the sun appears to be a 'greater light that rules the day' and the moon a 'lesser light that dominates the night.'?Genesis 1:14-18. (question)
3 The first part of Genesis indicates that the earth could have existed for billions of years before the first Genesis "day," though it does not say for how long. However, it does describe what earth's condition was just before that first "day" began: "Now the earth proved to be formless and waste and there was darkness upon the surface of the watery deep; and God's active force was moving to and fro over the surface of the waters."?Genesis 1:2. (question)
How Long Is a Genesis "Day"?
4 Many consider the word "day" used in Genesis chapter 1 to mean 24 hours. However, in Genesis 1:5 God himself is said to divide day into a smaller period of time, calling just the light portion "day." In Genesis 2:4 all the creative periods are called one "day": "This is a history of the heavens and the earth in the time of their being created, in the day [all six creative periods] that Jehovah God made earth and heaven." (question)
5 The Hebrew word yohm, translated "day," can mean different lengths of time. Among the meanings possible, William Wilson's Old Testament Word Studies includes the following: "A day; it is frequently put for time in general, or for a long time; a whole period under consideration . . . Day is also put for a particular season or time when any extraordinary event happens."1 This last sentence appears to fit the creative "days," for certainly they were periods when extraordinary events were described as happening. It also allows for periods much longer than 24 hours. (question)
6 Genesis chapter 1 uses the expressions "evening" and "morning" relative to the creative periods. Does this not indicate that they were 24 hours long? Not necessarily. In some places people often refer to a man's lifetime as his "day." They speak of "my father's day" or "in Shakespeare's day." They may divide up that lifetime "day," saying "in the morning [or dawn] of his life" or "in the evening [or twilight] of his life." So 'evening and morning' in Genesis chapter 1 does not limit the meaning to a literal 24 hours. (question)
7 "Day" as used in the Bible can include summer and winter, the passing of seasons. (Zechariah 14:8) "The day of harvest" involves many days. (Compare Proverbs 25:13 and Genesis 30:14.) A thousand years are likened to a day. (Psalm 90:4; 2 Peter 3:8, 10) "Judgment Day" covers many years. (Matthew 10:15; 11:22-24) It would seem reasonable that the "days" of Genesis could likewise have embraced long periods of time?millenniums. What, then, took place during those creative eras? Is the Bible's account of them scientific? Following is a review of these "days" as expressed in Genesis. (question)
First "Day"
8 "'Let light come to be.' Then there came to be light. And God began calling the light Day, but the darkness he called Night. And there came to be evening and there came to be morning, a first day."?Genesis 1:3, 5. (question)
9 Of course the sun and moon were in outer space long before this first "day," but their light did not reach the surface of the earth for an earthly observer to see. Now, light evidently came to be visible on earth on this first "day," and the rotating earth began to have alternating days and nights. (question)
10 Apparently, the light came in a gradual process, extending over a long period of time, not instantaneously as when you turn on an electric light bulb. The Genesis rendering by translator J. W. Watts reflects this when it says: "And gradually light came into existence." (A Distinctive Translation of Genesis) This light was from the sun, but the sun itself could not be seen through the overcast. Hence, the light that reached earth was "light diffused," as indicated by a comment about verse 3 in Rotherham's Emphasised Bible.?See footnote b for verse 14. (question)
Second "Day"
11 "'Let an expanse come to be in between the waters and let a dividing occur between the waters and the waters.' Then God proceeded to make the expanse and to make a division between the waters that should be beneath the expanse and the waters that should be above the expanse. And it came to be so. And God began to call the expanse Heaven."?Genesis 1:6-8. (question)
12 Some translations use the word "firmament" instead of "expanse." From this the argument is made that the Genesis account borrowed from creation myths that represent this "firmament" as a metal dome. But even the King James Version Bible, which uses "firmament," says in the margin, "expansion." This is because the Hebrew word ra?qi'a
, translated "expanse," means to stretch out or spread out or expand. (question)
13 The Genesis account says that God did it, but it does not say how. In whatever way the described separation occurred, it would look as though the 'waters above' had been pushed up from the earth. And birds could later be said to fly in "the expanse of the heavens," as stated at Genesis 1:20. (question)
Third "Day"
14 "'Let the waters under the heavens be brought together into one place and let the dry land appear.' And it came to be so. And God began calling the dry land Earth, but the bringing together of the waters he called Seas." (Genesis 1:9, 10) As usual, the account does not describe how this was done. No doubt, tremendous earth movements would have been involved in the formation of land areas. Geologists would explain such major upheavals as catastrophism. But Genesis indicates direction and control by a Creator. (question)
15 In the Biblical account where God is described as questioning Job about his knowledge of the earth, a variety of developments concerning earth's history are described: its measurements, its cloud masses, its seas and how their waves were limited by dry land?many things in general about the creation, spanning long periods of time. Among these things, comparing earth to a building, the Bible says that God asked Job: "Into what have its socket pedestals been sunk down, or who laid its cornerstone?"?Job 38:6. (question)
16 Interestingly, like "socket pedestals," earth's crust is much thicker under continents and even more so under mountain ranges, pushing deep into the underlying mantle, like tree roots into soil. "The idea that mountains and continents had roots has been tested over and over again, and shown to be valid," says Putnam's Geology.2 Oceanic crust is only about 5 miles thick, but continental roots go down about 20 miles and mountain roots penetrate about twice that far. And all earth's layers press inward upon earth's core from all directions, making it like a great "cornerstone" of support. (question)
17 Whatever means were used to accomplish the raising up of dry land, the important point is: Both the Bible and science recognize it as one of the stages in the forming of the earth. (question)
Land Plants on Third "Day"
18 The Bible account adds: "'Let the earth cause grass to shoot forth, vegetation bearing seed, fruit trees yielding fruit according to their kinds, the seed of which is in it, upon the earth.' And it came to be so."?Genesis 1:11. (question)
19 Thus by the close of this third creative period, three broad categories of land plants had been created. The diffused light would have become quite strong by then, ample for the process of photosynthesis so vital to green plants. Incidentally, the account here does not mention every "kind" of plant that came on the scene. Microscopic organisms, water plants and others are not specifically named, but likely were created on this "day." (question)
Fourth "Day"
20 "'Let luminaries come to be in the expanse of the heavens to make a division between the day and the night; and they must serve as signs and for seasons and for days and years. And they must serve as luminaries in the expanse of the heavens to shine upon the earth.' And it came to be so. And God proceeded to make the two great luminaries, the greater luminary for dominating the day and the lesser luminary for dominating the night, and also the stars."?Genesis 1:14-16; Psalm 136:7-9. (question)
21 Previously, on the first "day," the expression "Let light come to be" was used. The Hebrew word there used for "light" is 'ohr, meaning light in a general sense. But on the fourth "day," the Hebrew word changes to ma?'ohr', which means the source of the light. Rotherham, in a footnote on "Luminaries" in the Emphasised Bible, says: "In ver. 3, '?r ['ohr], light diffused." Then he goes on to show that the Hebrew word ma?'ohr' in verse 14 means something "affording light." On the first "day" diffused light evidently penetrated the swaddling bands, but the sources of that light could not have been seen by an earthly observer because of the cloud layers still enveloping the earth. Now, on this fourth "day," things apparently changed. (question)
22 An atmosphere initially rich in carbon dioxide may have caused an earth-wide hot climate. But the lush growth of vegetation during the third and fourth creative periods would absorb some of this heat-retaining blanket of carbon dioxide. The vegetation, in turn, would release oxygen?a requirement for animal life. (question)
23 Now, had there been an earthly observer, he would be able to discern the sun, moon and stars, which would "serve as signs and for seasons and for days and years." (Genesis 1:14) The moon would indicate the passing of lunar months, and the sun the passing of solar years. The seasons that now "came to be" on this fourth "day" would no doubt have been much milder than they became later on.?Genesis 1:15; 8:20-22. (question)
Fifth "Day"
24 "'Let the waters swarm forth a swarm of living souls and let flying creatures fly over the earth upon the face of the expanse of the heavens.' And God proceeded to create the great sea monsters and every living soul that moves about, which the waters swarmed forth according to their kinds, and every winged flying creature according to its kind."?Genesis 1:20, 21. (question)
25 It is of interest to note that the nonhuman creatures with which the waters were to swarm are called "living souls." This term would also apply to the "flying creatures [that] fly over the earth upon the face of the expanse." And it would also embrace the forms of sea and air life, such as the sea monsters, whose fossil remains scientists have found in recent times. (question)
Sixth "Day"
26 "'Let the earth put forth living souls according to their kinds, domestic animal and moving animal and wild beast of the earth according to its kind.' And it came to be so."?Genesis 1:24. (question)
27 Thus on the sixth "day," land animals characterized as wild and domestic appeared. But this final "day" was not over. One last remarkable "kind" was to come: (question)
28 "And God went on to say: 'Let us make man in our image, according to our likeness, and let them have in subjection the fish of the sea and the flying creatures of the heavens and the domestic animals and all the earth and every moving animal that is moving upon the earth.' And God proceeded to create the man in his image, in God's image he created him; male and female he created them."?Genesis 1:26, 27. (question)
29 Chapter 2 of Genesis apparently adds some details. However, it is not, as some have concluded, another account of creation in conflict with that of chapter 1. It just takes up at a point in the third "day," after dry land appeared but before land plants were created, adding details that were pertinent to the arrival of humans?Adam the living soul, his garden home, Eden, and the woman Eve, his wife.?Genesis 2:5-9, 15-18, 21, 22. (question)
30 The foregoing is presented to help us understand what Genesis says. And this quite realistic account indicates that the creative process continued throughout a period of, not just 144 hours (6 ? 24), but over many millenniums of time. (question)
How Did Genesis Know?
31 Many find it hard to accept this creation account. They contend that it is drawn from the creation myths of ancient peoples, primarily those from ancient Babylon. However, as one recent Bible dictionary noted: "No myth has yet been found which explicitly refers to the creation of the universe" and the myths "are marked by polytheism and the struggles of deities for supremacy in marked contrast to the Heb[rew] monotheism of [Genesis] 1-2."3 Regarding Babylonian creation legends, the trustees of the British Museum stated: "The fundamental conceptions of the Babylonian and Hebrew accounts are essentially different."4 (question)
32 From what we have considered, the Genesis creation account emerges as a scientifically sound document. It reveals the larger categories of plants and animals, with their many varieties, reproducing only "according to their kinds." The fossil record provides confirmation of this. In fact, it indicates that each "kind" appeared suddenly, with no true transitional forms linking it with any previous "kind," as required by the evolution theory. (question)
33 All the knowledge of the wise men of Egypt could not have furnished Moses, the writer of Genesis, any clue to the process of creation. The creation myths of ancient peoples bore no resemblance to what Moses wrote in Genesis. Where, then, did Moses learn all these things? Apparently from someone who was there. (question)
34 The science of mathematical probability offers striking proof that the Genesis creation account must have come from a source with knowledge of the events. The account lists 10 major stages in this order: (1) a beginning; (2) a primitive earth in darkness and enshrouded in heavy gases and water; (3) light; (4) an expanse or atmosphere; (5) large areas of dry land; (6) land plants; (7) sun, moon and stars discernible in the expanse, and seasons beginning; (8) sea monsters and flying creatures; (9) wild and tame beasts, mammals; (10) man. Science agrees that these stages occurred in this general order. What are the chances that the writer of Genesis just guessed this order? The same as if you picked at random the numbers 1 to 10 from a box, and drew them in consecutive order. The chances of doing this on your first try are 1 in 3,628,800! So, to say the writer just happened to list the foregoing events in the right order without getting the facts from somewhere is not realistic.
 
Wewe unaamini nini?
Hivi ni wapi biblia imekuwa in harmony with science?



Religion is not science wewe,
Quit living in a fish bowl.



Wewe ni mvivu kama walivyo wajinga wengine.
Kwenye kitabu cha Ufunuo Biblia inasema Jua na Mwezi havitakuwepo tena na Nuru ya Ulimwengu itakuwa ni mwana kondoo.
Sasa wewe utasemaje chanzo cha mwanga ni jua na mwezi tu?
Soma biblia yote acha kufuata mikumbo.



Hivi mbona huulizi why Jesus turned water into wine?
How can you explain that scientifically?



Soma tena Biblia na kuelewa chanzo cha mwanga ni Mungu mwenyewe kwanza.

Sifa moja ya kuwa Critical thinker ni lazima uwe msomaji mzuri wa mambo.
Wewe umekariri mistari michache unakuja hapa kuleta ujinga.
Hivi hiyo biblia umeisoma yote?
Kwanza tangu lini imani na sayansi vikapikwa chungu kimoja?




Mkuu nimekusoma vizuri.Hata Izack Newton anasema "There is a power which is above our level of thinking and invention" Hapa bila shaka yoyote alikuwa akimaanisha MUNGU na hakuwa kwenye hii cult ya wanaojiita atheist.
 
Musa kuishi kwenye royal family kwa farao lengo lilikuwa kupata elimu,kuelewa wamisri lifestyle yao na kuwekwa tayari kwa lengo lililokuwa mbele yake.Hakuandika chochote cha mawazo yake zaidi ya alichoambiwa na MUNGU ndo maana MUNGU alimpenda na hadi akamzika mwenyewe alipokufa.
 
Back
Top Bottom