MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Utakatifu wa kitu unapimwaje?
Nyani utajuaje utakatifu wakati mamlaka ya utakatifu unaipinga ??
wewe nyani ngwengwe asili ya binadamu ni ipi ?
Utakatifu wa kitu unapimwaje?
Sasa kama hujaweza hata kuandika utahojije swali lililokuzidi kiakili?
Kajifunze kuandika kwanza haya mengine utayakuta tu dada.
Sokwe mtu asili ya huyo binadamu ni nini ??
Mimi nimeumbwa kama wewe ni sokwe sema tu.
Umeumbwa wakati walikukunya 😀
supenatural kivipi mkuu?,kila kitu kipo wazi
kitabu cha mwanzo kimeandikwa kwa kufuata misingi ya nadharia za zamani ndiyo maana kimejaa makosa
kwa mfano,Mungu alimuumba adam kwa udongo,
umeshawahi kujiuliza kwanini alitumia udogo?
kulingana na four elements theory ya aristotle,udongo/soil ni basic element
lakini four element theory ni toothless kwa sasa baada ya idea ya dalton.
chanzo cha failure yako mkuu ni hilo jina ulilojipa bila kuwajua hao watu wawili einstain na newton waliaminini nini.
Ukiendelea hivyo utachanganyikiwa,
Umejuaje ??
umefanya uchunguzi lini ??
umethibitishaje ??
je kabla ya kuwapo nyani kulikua na nini hadi akawa nyani ??
Kwanini nyani abadilike awe binadamu kama wewe sio simba au nguruwe??
Chanzo cha wanyama wote ni nini ??
sokwe nijibu haya maswali
heeee!..kumbe wewe nyumbu unataka ufundishwe?,sema tutoe darasa
you have no ideas about evolution that's why you bother men with your silly qeostions.
Nilijua unatetea imani zetu za kiafrika kumbe unaabudu manabii wa kigiriki eg. Plato,Aristole nk
wewe nyani wakati wa evolution ulikuwepo ??
kwanini uamini vitabu hivyo ?
Baada ya kuanza nikaona ujinga nikaacha.
Nyani rudi mbugani ukale ndizi
naona unakata mauno tu hapa kama mchezaji wa akudo
Einstein was atheist and newton was theist,but all of them have nothing to do with my own beliefs
and which failure you talk about by the way?...entire book of genesis is simply primitive one and nobody can change this
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

mkuu nimekuwekea link ya evolutionist mwenzako, tena wewe ni amateur yeye ni proffessor wa huo uzushi uliolishwa katika pitapita zako maishani wenda kwa kujua au kutokujua. Msikilize kwa utulivu wa nafsi aliporudi NYUMBANI KWAKE HALISI CREATIONIST and became the Follower of GOD THE CREATOR OF HEAVEN AND EARTH.
Hujachelewa chief
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
wewe nyani wakati wa evolution ulikuwepo ??
kwanini uamini vitabu hivyo ?
Baada ya kuanza nikaona ujinga nikaacha.
Nyani rudi mbugani ukale ndizi
naona unakata mauno tu hapa kama mchezaji wa akudo
listen pal,i can't waste my time in fallacy opinions of someone else..
the only thing that can shake my beliefs in empirical evidence derived from isolated experiment and not personal argument like ex-evolutionist in link above
it doesn't matter how subtle his argument is,if it failed to fit in experiment i will not take it for granted
only thing that can reverse my orientation is experimental result
i don't need more blah blah
thanks