Errors in genesis

Errors in genesis

Atheist wataenda mashoga,,wachawi na watu wasiopenda kufuata sacred principles.Maana ndio kizazi kichafu kinachoshika chati siku hizi na kinachotaka kuwa huru.FREE THINKERS.
 
Atheist wataenda mashoga,,wachawi na watu wasiopenda kufuata sacred principles.Maana ndio kizazi kichafu kinachoshika chati siku hizi na kinachotaka kuwa huru.FREE THINKERS.

Mbona makanisa yenu yanafungisha hizo ndoa za mashoga si hatusemi? Acha kunyoonshea watu vidole kana kwamba mnachoamini ndio kiko sahihi!
 
Mbona makanisa yenu yanafungisha hizo ndoa za mashoga si hatusemi? Acha kunyoonshea watu vidole kana kwamba mnachoamini ndio kiko sahihi!

Yaangalie yameanza lini? Na misingi yao.Kanisa lenye misingi lililowakubali ni anglikana tu.Lakini mengi ni haya ya karibuni yenye mitazamo ya kisiasa na kipagani.
 
Ni nani alikudanganya kitabu cha Genesis ni cha Mwenyeezi Mungu?
 
thus why i said that,total story of creation as described by genesis is quite tale

kitu cha kwanza kilichokuwepo kabla ya uumbaji ni maji,lakini maji yaliuumbwa siku ya ngapi kama vyote viliumbwa ndani ya siku saba?

nirudi kwenye swali lako,hakuna sehemu yoyote katika biblia inayosema kuwa Mungu aliuumba udongo.labda wakristo watujuze

'Na roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji', hapo kabla ya uumbaji, ina maana Mungu aliyakuta maji, juu ya nini?? Dunia au universe?
Ila yote juu ya yote, biblia ina maswali mengi ambayo majibu yake si msaada sana juu ya maisha yangu!
 
Wewe unaamini nini?
Hivi ni wapi biblia imekuwa in harmony with science?

Religion is not science wewe,
Quit living in a fish bowl.

Wewe ni mvivu kama walivyo wajinga wengine.
Kwenye kitabu cha Ufunuo Biblia inasema Jua na Mwezi havitakuwepo tena na Nuru ya Ulimwengu itakuwa ni mwana kondoo.
Sasa wewe utasemaje chanzo cha mwanga ni jua na mwezi tu?
Soma biblia yote acha kufuata mikumbo.

Hivi mbona huulizi why Jesus turned water into wine?
How can you explain that scientifically?

Soma tena Biblia na kuelewa chanzo cha mwanga ni Mungu mwenyewe kwanza.

Sifa moja ya kuwa Critical thinker ni lazima uwe msomaji mzuri wa mambo.
Wewe umekariri mistari michache unakuja hapa kuleta ujinga.
Hivi hiyo biblia umeisoma yote?
Kwanza tangu lini imani na sayansi vikapikwa chungu kimoja?

Watu wa dini waliojaa ghadhabu na hasira, ni bora ya walevi kumi.
 
lame argument!
 
And what else I can expect from a senseless looser like you?? You have to talk that nonsense to the fools who know nothing about that glorious book.

fools like you who see bright contradiction and yet they still faith is fairy tale
eti glorious book,glorious book which lack scientific support?..only fools can accept the silly doctrine
 
Ni nani alikudanganya kitabu cha Genesis ni cha Mwenyeezi Mungu?

dada yangu Faiza Foxy,kidogo wewe umejitahidi kufikiri
lakini kuna baadhi theist,sijui ndiyo "strong theism",mtu anakuwa mbishi hata kwenye errors za wazi kama hizo
 
Watu wa dini waliojaa ghadhabu na hasira, ni bora ya walevi kumi.

you are absolutely right bro.

mistake cannot justfy the mistake,sasa mtu anakwambia kuwa chanzo cha mwanga ni mwanakondoo...absurd

mtu hana huelewe hata na maxwell's equation halafu bado analeta ubishi usio na tija
 
fools like you who see bright contradiction and yet you still faith is fairy tale
et glorious book,glorious book which lack scientific support?..only fools can accept the silly doctrine

In the bible you can find basic human needs like direction,joy,inspiration,happiness,lifestyle,love,the mankind lost reality and knowledge.If your looking for science in bible you have a long way to find it because the best scientists is GOD he is not innovator but Creator,,and innovators like Michael Faradays should have to copy and paste from his creation.Job39:1-~
 
Atheist wataenda mashoga,,wachawi na watu wasiopenda kufuata sacred principles.Maana ndio kizazi kichafu kinachoshika chati siku hizi na kinachotaka kuwa huru.FREE THINKERS.

"atheist wataenda mashoga" kwani atheist ni wapi?,au ni sehemu gani?

"watu wasiopenda kufuata sacred principle" unajua maana ya sacred principle?

do you even know what you wrote here mr?
 
We jamaa unatetea tu, kanisa ni kanisa tu kwani mule si anatajwa yesu au

Mkuu hivi wanaoutetea huo ushoga si watu wa science na wakitoa sababu za hormone inbalance?? Na wengi wao ni hawa atheist!! Huko ulaya wanaotetea huu umajinun ni atheist lakini wahafidhina wa imani wameshikilia msimamo.Na wanashawishi hadi wanasiasa waingie kwenye mkumbo wao wa kuishi kwa kutegemea akili pasi na kumshirikisha MUNGU.
 
In the bible you can find basic human needs like direction,joy,inspiration,happiness,lifestyle,love,the mankind lost reality and knowledge.If your looking for science in bible you have a long way to find it because the best scientists is GOD he is not innovator but Creator,,and innovators like Michael Faradays should have to copy and paste from his creation.Job39:1-~

teh teh teh

you know nothing because you cling to fallacy

even kids know that,the basic human need is not direction,lifestyle,joy,or love as you claim,please refer to your books if you are still a student or as ex-student

if bible doesn't harmony with science because God is only a creator and not the innovator..then you are mistake

the entire notion of omscience is contrary to your silly argument above!!
 
Inakuwa ngumu saaana mtu anapochangnya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani Imani na tafiti a kisayansi.Basi Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo,ni bayana ya mambo yasiyoonekana,hayo ya kisayansi najua unayajua kiasi flani.Imani haihojiwi ndiyo maana yule jamaa alisema..Mpeni Kaisari yaliyo ya kaisarina yaliyo ya Mungu mpeni Mungu.
 
Back
Top Bottom