ulimwengu una sheria zake mkuu
na hizo sheria ndiyo zinazo ufanya uwe kama ulivyo
kila system katika ulimwengu ina obey hizo sheria na kamwe hazibadilika
makosa yote unayoyaona katika kisa hicho cha uumbaji ni makosa ambayo waandishi wa biblia waliyafanya kutokana na uelewa wao finyu wa hizo sheria
kama wewe unapenda kujifunza kuliko ubishi,basi nenda kasome mwanzo chapter one,pamoja na mwanzo chapter two halafu vilinganishe,utajua nini ninacho maanisha
Mpendwa einstein newton na maatheist wenzio kina Jimena, jambo moja kubwa ambalo lilifanya, linafanya na litaendelea kufanya muendelee kubishana(argue for and against each other) bila kufikia muafaka ni kuwa;
>upande mmoja(ninyi maatheist) mnakubali na kukiamini kitu/jambo endapo kitakuwa logically expressive plus kiwe/liwe na some scientifical evidences and proofs(kwa ukomo wa kufikiri kwenu),
>lakini kwa upande wa pili Sisi tumaomwamini MUNGU hatuhitaji kutumia nguvu nyingi/kusumbua akili zetu kuamini/kukubali(ana na) jambo, ni IMANI tu(kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana na yasiyoonekana) ndiyo inafanya kazi hapa.
Kwahiyo kaeni mkiyafahamu haya.
Kwakuwa tunaokolewa kwa NEEMA, bado sishangai, time is our most teller, lets wait and see. Goodluck
Ahsateni.
Mkuu Paa nakubaliana na wewe moja kwa moja kuwa mnaamini tu wala hamna hakika na hamjishughulishi kujua kama ni kweli au sio kweli, na kwa bahati nzuri mimi pamoja wenzangu wengi tunafahamu hilo. Tatizo ni pale mtu anaeamini mambo yatarajiwayo (hana hakika na anachoamini) anavyojifanya yuko right......ye ndo mtakatifu......ye ndo kila kitu mana ye amekariri mandiko hili ndolinalopelekea hii mijadala kutoisha, laiti kama waumini wangekuwa na uelewa japo kidogo basini wazi kuwatusingekuwa tuna hii mijadala
Cc aretasludovick Free ideas miss you brother, mkuu Bennie 369 hujaonekana kabisaa,
Umenielewa vibaya....nimesema "KUWA NA HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO BAYANA NA YASIYOONEKANA"
Nina uhakika na ninachokiamini kwakuwa miujiza na maajabu ya KIMUNGU ni dhahiri kabisa.
Ina maana waumini wote na wafuasi wa Yesu Kristo duniani kote, watu zaidi ya bilioni elfu moja hawana uelewa h?
Na kusikia bado?Miujiza na maajabu ya kimungu bado sijafanikiwa kuyaona mkuu.
Ni kweli MUNGU hachunguziki ndio maana ninyi kwa ugumu wa mioyo yenu mnakaza shingo zenu tu japo hichi nikisemacho kinajidhihirisha. Lets wait and seeWamerithishwa imani kama ulivyorithishwa wewe, wanaogopa kuhoji mana wamekatazwa kwasababu watakufuru au Mungu hachunguziki.
Kama unaamini kwa kufata mkumbo hilo nalo ni tatizo jingine mkuu, Hivyo waumini kuwa kwao bilioni au elfu we haikusaidii chochote na wala haimaanishi kuwa wako sawa.
Na kusikia bado?
Ni kweli MUNGU hachunguziki ndio maana ninyi kwa ugumu wa mioyo yenu mnakaza shingo zenu tu japo hichi nikisemacho kinajidhihirisha. Lets wait and see
I second you brother,lakini kuna baadhi ya watu wanajifanya vipofu hata kushindwa kuona makosa rahisi kama haya.
"nalitukuka tokea milele,tangu awali kabla haijawako dunia
wakati visipokuwako vilindi NALIZALIWA
wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji
kabla ya milima haijawekwa imara
kabla ya vilima NALIZALIWA"
mithali 8:23-25
kitabu cha "mithali",kimeandikwa na mfalme solomon,lakini hapa si yeye anayezungumza maneno haya kwasababu kulingana na biblia hakuna mwanadamu mwenye sifa hizo hapo kasoro sifa moja tu ya KUZALIWA
basi bila shaka huyu anayezungumza hapa ni yesu ambaye pia ni mungu(ref to holy trinity theory)
neno KUZALIWA limejirudia mara mbili kuonyesha msisitizo
kuzaliwa ni mwanzo wa maisha huo ndiyo ukweli uliyo wazi
lakini Mungu hana mwanzo wala mwisho,sasa iweje azaliwe?
ndugu "1954tanu" tunaomba majibu tafadhali.
Yohana Mtakatifu 1:1-3, 14. Kwa kuangalia maandiko kifasihi huwezi toka wala kuelewa. Kama mbingu na nchi zilivyo mbali ndivyo mawazo na uweza wa Mungu ulivyo mbali na akili zetu.
Yohana Mtakatifu 1:1-3, 14. Kwa kuangalia maandiko kifasihi huwezi toka wala kuelewa. Kama mbingu na nchi zilivyo mbali ndivyo mawazo na uweza wa Mungu ulivyo mbali na akili zetu.
sikutegemea kama bado kuna watu wanatatizwa na egg-chicken-problem
anyway yai ndiyo kitu cha kwanza kwasababu ya recombination of gene
lakini hapa si mahala pake
kuhusu point yako ya logic,
principle za logic ni universal hakuna ya muumbaji wala ya muumbwa
huwezi kuwa na effect kabla ya cause,hii undeniable fact
hauwezi kupata usiku na mchana,bila ya jua na dunia
ukisema kitabu cha mwanzo kipo logically sahihi,basi utakuwa mistaken kwasababu genesis imelack causal mechanism.
you are correct!
but think this for moment,if something can never be detected in any way,then in principle it doesn't logically exist
so do you still believe that genesis story of creation is not a myth?
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
you are correct!
but think this for moment,if something can never be detected in any way,then in principle it doesn't logically exist
so do you still believe that genesis story of creation is not a myth?
how can you comprehend things which are far higher than your limited mind.....?!
By Makanyaga;
Something not logically existing does not mean that it REALLY does not exist. Ndiyo maana wasomi pia wanaenda kwa waganga wa kienyeji, ambao wengine hawajui hata aeiou. Ni kutokana na hii discrepancy kwamba logic inaonyesha kuwa hiki kitu hakipo lakini reality inakuwa prven kwa mganga wa kienyeji kwamba kina-exist!. Kwenye logic yako umejaza vitu vile tu ambavyo unavifahamu na ulishawahi kuviona, kwa vitu vile ambavyo ama huvijui au hujawahi kuviona havipo kwenye logic yako, lakini haimaanishi kwamba havipo. Reality is very superior to logic.
Exactly.!
I will Agree with you Categorically
it's true that Reality Does not Decided by Logic at All
But this Axiom is only Valid when We deals with things that is Beyond Our thinking Capability
But in case of Genesis Account,All those Event is within Realm of our Current Knowlegde
We know Exactly How day and Night occur.so Above Axiom in No longer Applied
Nice day
What you've said is the opposite. In Genesis we're dealing with things we do not know, but believe that they happened as they are narrated. If we know then we can tell how light came about and where it was somewhere before it came about or it just came for the first time and what made it happen that way. If we claim to know we must be able to tell what exactly happened. While if we believe, it means we trust that God cannot lie and so we take it for granted that everything he does is free from error.
Umesema vema kabisa "wanaamini"! Kwani 'imani' inahitaji hoja au uthibitisho wa kisayansi?wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
Mungu ni muweza wa yote (katika jicho la kiimani). Sayansi inaangalia vitu ambavyo tayari vilishaumbwa. Aliyeumba anasema aliumba kwa mpangilio fulani, sisi 'watazamaji' tusioweza kujiongeza urefu wetu hata kwa milimita moja tunasema huo ni uongo! Kwani hilo jua lilitoka wapi? Ni nini kinafanya jua litoe mwanga? Hicho kinachosababisha jua litoe mwanga kilitoka wapi? [kuna maswali kadha wa kadha sayansi haijathibitisha kuhusu jua, sana sana tunaishia 'kuwaamini' tu hao wanasayansi. So far hakuna hata aliyewahi kufika katika jua]mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
Hii inafanana tu na hoja ya hapo juu. Hakuna kisichowezekana mbele ya Mungu.mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
Tumevikuta tu. Aliyeviumba ndiye anajua aliviumbaje na alitaka viweje.mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!