Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,499
- 8,491
Mkuu wewe ungefanya hicho alichofanya jamaaUtoe machozi kwa sababu ya PR stunt??!!
Nasubiri nimuone Msanii EmbarambambaNamwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anaye ishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana akili sana.
View attachment 2974606
Kuna watu mmewekeza sana kwenye ushabiki wa sanaa!Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Omond ni very creative huyo jamaa lakini hawa wakwetu hapa bongo wanajitoaga akili tu hawana creativity.Nasubiri nimuone Msanii Embarambamba
Kivipi mkuuKuna watu mmewekeza sana kwenye ushabiki wa sanaa!
I love you menejaKivipi mkuu
Comedian wa KenyaKwani ni Nani huyu Eric Omondi?
Uko serious kabisa mkuu?Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana akili sana.
View attachment 2974606
mimi naomba kujua huo wimbo jina lakeNamwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana akili sana.
View attachment 2974606
Kimsingi celebrate wa weusi wanajisahau sana na ndo maana mwisho wao huwa ni mbaya sana.Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana akili sana.
View attachment 2974606
kwanini useme ni siasa? Kwanini isiwe labda katika makuzi yake alishawahi kusaidiwa katika hali ngumu. Hivyo anarudisha katika jamii? Kwann iwe lazima ni siasa?Eric Omondi kuna moves anazifanya lately zinanipa maswali mengi, ana mpango gani kisiasa?
Hizi moves anazozifanya sio za kawaida.
Cha ajabu hapo ni kipi mkuu?Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana akili sana.
View attachment 2974606