Erick Omond anasema kweli kuhusu Muziki na Wasanii wa Kenya?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,317
Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo fleva, lakini kwa siku hizi Kenya hakuna muziki wa kuitikisa bongo.

WASANII WA KENYA AMKENI MMEAMBIWA UKWELI,ni kama tu Bongo Muvi imekufa kibudu

Screenshot_20211109-205329.png
 
Back
Top Bottom