Unakumbuka watabe gani kutoka Kenya?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Majirani +254, Kenya

Kenya imekuwa ikitambulishwa na blocks kuu mbili; Nairobi na Mombasa (ni) lakini andiko hili litawaunganisha.

1. Ukoo Fulani Maumau Kalamashaka (Johny Vigeti, Kimya, Roba na wengineo) - Punchlines kibao

2. Kleptomaniacs (Nyashinski, Collo na Roba) - Tuendelee

3. Papa Jones Khaligraph - I Run 254

4. Nonini - Nimetoka Mbali

5. Jua Cali - Baba Yao

6. Esir - Mos Mos

7. Necessary Noize (The First Lady Naziz, Wyre the Love Child na Bamzigi) - Kenyan Boy/Girl

8. Elani - Milele

9. Longombaz (Richie na Nduguy'e) - Vuta Pumzi

10. Abbas Kubaff - Chapaa

11. Chiwawa - Mnafeel Aje

12. Amani - Usiwe Mbali

13. Nameless - Sinzia

14. Wahu - Sweet Love

15. The Bugz (Bobby Mapesa na Nduguy'e) - Kamoja Tu

16. Wakimbizi - Jogoo

17. Mr. Lenny - Leo

18. Cannibal - Kichwa Kibovu

19. Sharama - Gangsta Love

20. Nyota Ndogo - Watu na Viatu

21. K South (Bamboo) - Kabinti

22. Hart The Band - Uliza Kiatu

23. CMB Prezoo - P.R.E.Z.O.

24. Masauti - Kiboko

25. Mejja Okonkwo - Landlord

26. Big Pin - You

27. Sanaipei Tande (Sana) - Amina

28. Camp Mulla - Look at Me Now

29. Didge - Saa Zingine

30. Gidigidi Majimaji - Many Faces

31. Historians - Boushee (Amenichanganya)

32. Jaguar - Kigeugeu

33. Cashy - Micasa Sucasa

34. Jimwat - Sitoi Kitu Kidogo

35. Nikki - Niwe Wako

36. Redsun - Upper Cut (Apakatwe)

37. STL - Bad as I Wanna Be

38. Deux Vultures - Monalisa

39. Wakadinali - Geri Inengi

40. Willy Paul - Mmmh

41. Naiboi - 2 in 1

42. Juliani - Utawala

43. Kristoff - We Be Happening

44. King Kaka - Diana Series

45. Octopizzo -

46. Dna - Banjuka Tu

47. Pilipili -

48. Habida - My Reason

49. Femi One - Utawezana

50. Jimmie Gait - Muhadhara

51. Marya

52. Avril - Chokoza

53. Victoria Kimani - Prokoto

54. Bee Man - Embe Dodo

55. Kenrazy

56. Madtraxx

57. Kunguru

58. Saut Sol - Sura Yako

59. Kitu Sewer - Barua

60. Fikrah Teule

61. Nafsi Huru

62. Wakamba Wawili

63. Kaa La Moto Kiumbe - Klm Is Dead

64. Abudhabi Tembe Kali

65. Chris Kantada

66. Hozef

67. Kayvo Kforce

68. Gkv

69. Mtu Real

70. T3jjah

71. Left Arm

72. Kali D

73. Rudiwu Makeke

74. Mc Zinga

75. Xtatic

76. Timmy Tdat

77. French Boy - Motomoto

78. Petra - Pepea

79. Wafalme - My Story

80. Nadia Mukami - Tesa

81. Size 8

82. Rat-A-Tat - Kwa Jina

83. Susumila - Sonona

84. Tanasha Donna - Nah Easy

85. Tatuu - Teso

86. Kagomaz - True Love

87. Sudi

88. Amileena

89. Mimmo - Boyfriend

90. Mr Googz

91. P Unit - (Gabu, Frasha, Boniey) - Mkaleee

Nilitaka kuwaandika kama Solo Artists lakini baadaye nikapata wazo la kuwaandika kulingana na makundi yao, hivyo wapo niliowaandika kutokana na makundi yao na wapo niliowataja singly.

Nauheshimu sana mchango wa Musyoka, Ogopa DJs, Tabasamu Recs, Calif Recs, Teddy Josiah, na Home Boys Producshizlle, ambayo ilikuwa favourite kwangu.

Kenyan music ilinibamba sana na Sheng, kuanzia Kapuka, Genge Mpaka Hip Hop.

Ukiachana na game ya Bongo, Wakenya wengi waliofanya game kwa kipindi kile wamehamia kwenye gospel kama; Amani, Size 8, Wahu, Collo, na wengineo.

Kwa wasanii ambao watakuwa wageni akilini mwako, niliwafahamu kupitia kwa Iddy Mwanaharamu.. Fanya umchek kwa ngoma za zamani na mastori kibao kuhusu game.

Luah.
Mwandishi wa aina yake.
The author of his own kind.
 
Back
Top Bottom