wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,534
Kati ya waandishi waliowahi kutumia kalamu zao vibaya, wewe unaongoza. Na hakika historia itakuhukumu vibaya sana.
Kwanza umekuwa ukiingilia faragha za watu ili utengeneze pesa, ingekuwa kwenye mataifa yanayojitambua ujinga huo usingejaribu. Ulitumia muda mwingi wakati wa kampeni kuhamasisha watu wapige kura ukidai unaipenda Tanzania kumbe unaipenda CCM. Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya Tanzania na CCM, CHADEMA, CUF na mengineyo. Tanzania ni bora kuliko hivyo vyama.
Umekuwa ukienda kuwatembelea wafungwa na kisha unalia pamoja nao, ila kaka yako uliyedai anafaa sana, kasema wapigwe tu maana hakuna namna.
Ingekuwa unaipenda Tanzania usingeitumia kalamu yako vibaya, unakera sana wewe.