Mbona wafungwa Tz wanafanya kazi? Wafungwa walikua wanakuja kufanya kazi mpaka kwa marehemu Kingunge.Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Well said!Kwani mkuu wewe ulitakaje?walale tu?kwani gerezani ni hospital!!!
Kufanyakazi kama wengine sio tatizo ni huo ukatiliKwani mkuu wewe ulitakaje?walale tu?kwani gerezani ni hospital!!!
Wenzako hawana huo upeo wa kufikiri kama wewe!mfano kazi za kusafisha takataka miji yote ingefanywa na wafungwa
Tofautisha kati ya kufanyakazi za uzalishaji na kazi za kumkomoa mtu kisa yeye ni mfungwa.
“Unakuta hata maaskari na watumishi hawana nyumba za kukaa na wafungwa wapo tena wa bure kabisa ambao unaweza kuwaambia wafyatue matofali na teke ukawapiga. Askari huna pa kulala na wafungwa wapo, lakini unawatafutia Bajeti ya Serikali," Rais John Magufuli.
Kuna majitu makatili kama wachina na wakorea au waarabu?Kufanyakazi kama wengine sio tatizo ni huo ukatili
Hukumu inasomeka kifungo miaka kadhaa na kazi ngumu!na viboko kadhaa siku ya kutoka. Halafu watu analala tu na kusodomana.Kuna majitu makatili kama wachina na wakorea au waarabu?
Haya mambo ya unafiki mkuu ndiyo yanayo angamiza nchi yetu, sasa MAMA TANZANIA ameamka walahi!
Nimeisikia kauli ya wafungwa wapigwe na kufanyishwa kazi nzito baadae nikakaa na kujisemea moyoni kama kweli mtu yule alipita seminari wanakoandaliwa mapadriNi mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!
Backnowledge in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs...seuze desk job!!
Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kupata paid leave TSH. 4M halafu house allowance upate sh. 200K.
Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kuishi Uswahilini kwenye chumba kimoja!!
Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
Mpaka mashoga refer Bilali miaka ileee alionekana nae sana tuMkuu,hakuna mtu hatar hapa Tanzania kama Shigongo,huyu jamaa hata huo utajir wake kadhulumu watu wengi sana kama akna Abbasi Mwinyi,Wasanii na watu anaowabambikia skendo then wanaenda kumwona kimyakimya
Shigongo amekuwa kwenye upande wa CCM siyo kwamba anaipenda CCM,ni kwa sababu jamaaa alikuwa analitaka jimbo la Buchosa (hapa alikuwa anajua akiupata ubunge wa Buchosa lazma pia atateuliwa kuwa Wazir wa habar au msemaji wa Taasisi nyeti ya serikali),matokeo yake akapigwa chini...huyu jamaa pia inavyosemekana ni mlokole na huwa anawagonga mpaka wake za watu na usisahau kuwa ndye anayemiliki Corner bar (then connect the dots)
Wafanyishwe kazi tu, hamna namna walahi!Hukumu inasomeka kifungo miaka kadhaa na kazi ngumu!na viboko kadhaa siku ya kutoka. Halafu watu analala tu na kusodomana.
Kwani bongo hawalimi??,,nenda karanga moshi uoneWafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Kwani Tanzania wafungwa yawafanyi kazi? Na kama hawafanyi, unadhani nani wa kulaumiwa?Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Nini kilikuwa wrong na kwa vipi?! Wrong ni hiyo paid leave, house allowance au amount?!ndo maana nikasema it was wrong