Eric Shigongo ni nani?

Mmiliki wa johsberg hotel pale sinza mori inatizamana na wanyawa na ile hotel nyingine jina nimelisahau pale karibu na ambiance
 
Ni mmiliki wa ukumbi unaoongoza kwa kuwa na machangudoa hapa mjini huku akiwa yeye ni mlokole.

Na alipewa dedication na Lumumba fc kwa kauli mbiu ya "KUNYWA MAJI MWANANGU"-Meghi
 
Global publisher ndo nini mkuu
Global publisher ndo nini mkuu
mkuu kumbe wewe bado dogo au mgeni hapo Dar, global publisher ni wachapishaji na wamiliki wa magazeti ya udaku Tanzania ya uwazi,ijumaa na michezo la champion kwa kuyataja machache. Shigongo amepitia maisha ya kupambana maisha hadi hapo alipofikia na kikubwa ni ile hali ya kuthubutu. Hakuwa na elimu kubwa ya darasani hivyo amejiendeleza ndio maana umeambiwa ni mwaka jana tu amejiunga chuo kikuu. Kuna makala fulani au kwenye vitabu vyake ameelezea maisha yake yote aliyopitia. Ni mfano wa kuigwa kwa kweli.
Niko tayari kukosolewa.
 
Hakuna wa kukukosoa mkuu
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Katika pita zangu zangu leo nikasikia jamaa anayemiliki dar live anaitwa erick shigongo, nikawaza huyu jamaa ni nan ni mchaga wa wap huyu

Badae nikasikia hata gazet nililokuwa nasoma gazet fulan la michezo wakasema hata lenyewe ni lake nikashituka kidogo nikawaza huyu jamaa ni yupi

Kuna wengine wakadai jamaa anamiliki maghorofa kadhaa kwa far na mwanza tena jamaa ananilekeza ghoropha kazaa kwa mwanza nikazifahamu. nilishituka sana aisee

Jamaa mwingine akasema huyu jamaa ana chanel YouTube kwa mwez anapiga kama milion 30-50

Mwingine tena akasema jamaa kwa sasa yuko chuo mwaka wa kwanza hapo ndo nilipogopa zaid nikajiuliza sasa huyu jamaa yuko chuo mwaka wa kwanza na anamiliki dar live na magazet hela kapata wapi na alianza shule lin na alifanya dili gan aisee

Naomba kumufam aisee maana anaoneka kama jamaa yuko mbali sana. Yaweza kuwa tukapata nas maujanja njia alizopita nasi tukatusua

LONDON BOY
Ni msukuma wa Mwanza aliyezaliwa miaka ya 1969,kutoka familia maskini hata shuleni alienda bila viatu yy na dada zake.Kwa sasa Ni mtu aliyefanikiwa kama ulivyoandika kwenye msg yako
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Katika pita zangu zangu leo nikasikia jamaa anayemiliki dar live anaitwa erick shigongo, nikawaza huyu jamaa ni nan ni mchaga wa wap huyu

Badae nikasikia hata gazet nililokuwa nasoma gazet fulan la michezo wakasema hata lenyewe ni lake nikashituka kidogo nikawaza huyu jamaa ni yupi

Kuna wengine wakadai jamaa anamiliki maghorofa kadhaa kwa far na mwanza tena jamaa ananilekeza ghoropha kazaa kwa mwanza nikazifahamu. nilishituka sana aisee

Jamaa mwingine akasema huyu jamaa ana chanel YouTube kwa mwez anapiga kama milion 30-50

Mwingine tena akasema jamaa kwa sasa yuko chuo mwaka wa kwanza hapo ndo nilipogopa zaid nikajiuliza sasa huyu jamaa yuko chuo mwaka wa kwanza na anamiliki dar live na magazet hela kapata wapi na alianza shule lin na alifanya dili gan aisee

Naomba kumufam aisee maana anaoneka kama jamaa yuko mbali sana. Yaweza kuwa tukapata nas maujanja njia alizopita nasi tukatusua

LONDON BOY

Eric Shigongo ni mfanyabiashara, mjasiriamali, mwandishi, mtungaji vitabu na mfasiri wa vitabu na hadithi kutoka kiingereza kwenda Kiswahili na mhamasishaji Mtanzania.
Alikuwa pia kiongozi wa Vijana wa CCM aliyegombea na kushindwa katika kura za maoni za uchaguzi wa CCM mwaka 2010.
Kwa mujibu wa TCRA (2018), Global Publishers & General Enterprises Limited inamilikiwa 100% na Joachim Lusana Buyobe. Buyobe pia anamiliki Geita Online TV kwa 100%. Hata hivyo Shigongo pia anaonesha kuhusika kwa karibu na kampuni. Anatajwa kuwa ni Ofisa Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi na Msimamizi wa global Group - na wakati mwingine kuwa ni mmiliki wa tovuti nyingi. Aidha anaitaja kampuni kwenye facebook yake. Nafasi yake halisi haifahamiki kwa sababu wasifu wa kampuni yake haupatikani katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na kampuni hiyo haikujibu maswali ya mahojiano.
Shigongo alianzisha kampuni pamoja na Abdallah Mrisho Salawi mwaka 1998, na wakati huo ndipo alipoanza kuchapisha riwaya pia. Global Publishers inachapisha magazeti ya wiki ya Uwazi, Ijumaa, ijumaa Wikiendi, Risasi, Amani na Championi yote kwa lugha ya Kiswahili.
Shigongo amepata umaarufu kama mjasiriamali, mtungaji vitabu na msemaji. Amezaliwa Mwanza katika mwambao wa Ziwa Victoria. Ana aina nyingi ya miradi na kampuni, ikiwemo vyombo vya habari, hoteli, kilimo, milki ya ardhi na uendelezaji wa majengo. Yeye ni mwandishi maarufu hasa katika hadithi za mfululizo magazetini na riwaya. Historia yake kama mwandishi inahusiana na shughuli yake katika sekta ya uchapishaji, wakati anapoandika mfululizo wa hadithi kwenye magazeti yake mwenyewe.
Miongoni mwa vitabu vinavyosomwa na kuandikwa na Eric Shigongo ni “Rais Anampenda Mke Wangu” kwa kiingereza “The President Loves My Wife” mwaka (2003), The Last Days of My Life(2001), Tears and Blood na vingine vingi.
Kwa sasa Shigongo anasoma Shahada ya kwanza katika Mawasiliano na Umma (Mass Communication) chuo kikuu cha Tumaini, Ndaki ya Dar es Salaam (TUDARCO).
 
Umeeleweka vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkila mkashiba na kuvumbiwa vijana huwa mnakua na stori nyingi mpaka mnapitiliza.
 
Back
Top Bottom