Eric Shigongo ni nani?

Nenda bamaga pale utamuona hana noma japokuwa uende angalau na kisa chako kimoja hivi ili kiwekwe gazetini kwake
 
Tafuta vitabu vyake haswa vya uhamasishaji amejieleza vizuri ila jamaa katokea chini ni la saba aliyekuwa na hamu ya kuwa mtu fulani nchini na dunia simple mind hawamkubari ila mimi namkubali
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom