kidadari JF-Expert Member Jul 26, 2012 8,647 9,574 Jun 11, 2019 #2 Recep tayyip Edorgan------M Ozil macho makubwa----kipenzi cha wavaa kyupi
Malimi Jr JF-Expert Member May 28, 2017 1,243 2,666 Jun 11, 2019 #3 Mkuu wengine bando ni mtihani kwetu ungeweka na maelezo kidogo.
Sexer JF-Expert Member Oct 22, 2014 8,216 7,907 Jun 11, 2019 Thread starter #4 Erdogan ni rais wa uturuki, Ozil ni mchezaji wa Arsenal na mchezaji wa zamani wa ujerumani mwenye asili ya uturuki Malimi Jr said: Mkuu wengine bando ni mtihani kwetu ungeweka na maelezo kidogo. Click to expand...
Erdogan ni rais wa uturuki, Ozil ni mchezaji wa Arsenal na mchezaji wa zamani wa ujerumani mwenye asili ya uturuki Malimi Jr said: Mkuu wengine bando ni mtihani kwetu ungeweka na maelezo kidogo. Click to expand...
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,754 Jun 11, 2019 #6 Mimacho ya Ozil wakati huo ilitumika kama rada ili kusiwepo shambulizi lolote la nyuklia dhidi ya rais.
Mimacho ya Ozil wakati huo ilitumika kama rada ili kusiwepo shambulizi lolote la nyuklia dhidi ya rais.