njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,798
Umesahau na bernoullis principle.. Moja ya equation bora kwenye maswala ya uzalishaji wa umeme
Mie nilikua equation ya tarehe 17.3.2021? Umeniangusha Kwa kweli.
In probability weak law of large numberFluid Mechanics sio?..
Humo kuna equations kibao..kina Poilleuse equation n.k
Katika hizo Newton's laws of motion hakuna iliyokuwa tami kama hii; To every action there is equal and opposite reaction au Action and Reaction are equal and opposite.Equations of motion za bwana nyutoni kwenye mechanical hizo lazima uishi nazo.
Mambo ya Complex Numbers hayo!By the way, square root of -1 is i.
What is the square root of i?
Kitu kama 0.707 ngapi ngapi sijui huko plus 0.707 kama namba ya mwanzo mwisho kuna i.By the way, square root of -1 is i.
What is the square root of i?
Aha Streamline Flow au Laminar Flow!Umesahau na bernoullis principle.. Moja ya equation bora kwenye maswala ya uzalishaji wa umeme
Humo kwenye programmed system ikweshenzi, zishatendeka.Samahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
Hizo ndio underlying principles ya science hapa Duniani, Mkuu.Samahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
Ndio nyepesi zaidi kuimeza.. Mie niliimezaga hivi "Actions and reactions are equal but opposite in direction"Katika hizo Newton's laws of motion hakuna iliyokuwa tami kama hii; To every action there is equal and opposite reaction au Action and Reaction are equal and opposite.
Bank naziapply baadhi ya hizo formula on daily basisSamahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
9 na 15 hapo...nyanga za tonics!!!
Kwenda na kasi ya dunia, unaonaje tukianza kufundisha hizo ready made programmed softwares & tools.Humo kwenye programmed system ikweshenzi, zishatendeka.
Systems au hizo software zipo kurahisha mambo kwa tu amabae tayari anajua kitu anachokifanya.
Mfano mdogo unapotumia scientific calculator, inakusaidia(kukurahisishia) katika jambo ambalo tayari ushalijua.
Umesahau na bernoullis principle.. Moja ya equation bora kwenye maswala ya uzalishaji wa umeme
Tutakosa wataalamu wakutengeneza hizo systems zenyewe.. Mfano unataka kutengeneza mambo ya projection ili utengeneze system ya kuproject kitu lazima tayari uwe unazijua kanuni za projection ipasavyo, ujue projection ni nink, kanuni zake, ujue trigonometry vizuri, law za motions vizuri.. Kisha hivyo vitu ndio unavitengenezea system ambayo inarahisisha kaziKwenda na kasi ya dunia, unaonaje tukianza kufundisha hizo ready made programmed softwares & tools.
Mfano! Simu janja mtu anakuwa hana ufahamu lakini anajifunza hatua kwa hatua na kuweza kuhimili sio lazima afahamu metric, codes na system behind it.
Labda umeme wa maji mkuu, huwezi jua..Bernoulli equation kwenye masuala ya uzalishaji umeme???!!![]()