Equations that changed the world

Equations that changed the world

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
1617457787054.png
 
Nyutoni kanuni zake tunaishi nazo siku zote za maisha yetu hapa Duniani kwa kujua ama kutokujua.

Vizazi vyote vijavyo Duniani lazima waziishi kanuni zake.

Nyutoni sijui alikua anafikiri nini kichwani mwake.
Kale kazee kalikuwa vizuri kwa hedi yake. Alikuwa na kichwa yule hakuwa na "NDONGA"
 
MTU kwenye IQ namba 1 duniani yeye hakuwa na theory yoyote iliyobadilisha ulimwengu licha ya kuwa wa kwanza kuipatia duniani mwanga na kufanya kurahisisha mawasiliano-Nikola Tesla.
Faraday ameleta mapinduzi makubwa kwenye ishu nzima ya kufua umeme, ila sidhani kama anapewa umuhimu sana. Wakati alifanya gunduzi iliyoumiza vichwa vya watu kwa muda mrefu
 
Mimi na mahesabu mbalimbali.....niacha physics nilipoingia form 2. Nikaendelea kukomaa na kina Atwoki...
 
Back
Top Bottom