Epz pale external/ mabibo hostel ni sahihi watalaam mipango miji?

rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
178
:angry:Tusaidieni wataalamu wa mipango miji na wahandisi, je ilikuwa sawa EPZ (EXPORT PROCESSING ZONES) kujengwa pale external/jirani na Mabibo hostel? km kweli tunampango wa kweli kupunguza road trafic jam Dar? ni kitu gani kitafanywa pale? au hakuna industries zinakazijengwa? tujulisheni jamani wengine hatujui kitu gani kinaendelea hapo.
 
hiyo ndio nini tena? maana mimi nilikuwa naisikiaga tu kwenye hotuba za Kikwete oohh sijui EPZ..sijui EPA,sijui EL na ile nyingine sijui nini vile
 
sio sawa kabisa maana ile ilikuwa industrial area lakini wananchi walishaforce wakajenga makazi na kibaya zaidi NSSF wakajenga hostel hivyo mpango wa kulifanya eneo lile industrial area ulitakiwa uwe umekufa na kutafuta eneo lingine.
 
Narudia ni maamuzi ya kisiasa zaidi kuliko kiuchumi....hata lile machinga complex ni complexity za kisiasa tu....Tnganyika Packers siasa tupu....Kigamboni siasa tupu...Tanzania siasa tupu
 
Nchi ya kitu kidogo, ni nchi ya watu wadogo.
Hivi mtu na akili yako timamu unalazimisha kuweka viwanda mahali pafinyu vile!!!
Viongozi wa chama cha kijani naona kabisa hawaoni mbali.
Sewage system ilivyombaya Dsm watapeleka wapi hiyo sumu ya maji taka toka viwandani. Pembeni hapa kuna wasomi wa Chuo kikiuu wanaohtaji kujisomea usiku na mchana hivyo viwanda haitakuwa Disturbance kwao?
Shida ndiyo hiyo, hawaamini kama Singida EPZ isingewza kuwepo kwa sababu akili zao kupitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom