rugumye
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 561
- 178
:angry:Tusaidieni wataalamu wa mipango miji na wahandisi, je ilikuwa sawa EPZ (EXPORT PROCESSING ZONES) kujengwa pale external/jirani na Mabibo hostel? km kweli tunampango wa kweli kupunguza road trafic jam Dar? ni kitu gani kitafanywa pale? au hakuna industries zinakazijengwa? tujulisheni jamani wengine hatujui kitu gani kinaendelea hapo.