Epuka sana kukopesha mtu pesa

Aisee. Mdaiwa afungwi.
Katika maisha yako ya utafutaji epuka sana kumkopesha mtu pesa kwa lengo la kurudishiwa pesa yako ya awali.

Kumbuka kuwa pesa unayompa mtu kwa mkopo sio yako tena.

Aliwai kuniambia baba yangu"mtu akikuomba umkopeshe pesa mpe nusu ya pesa alio omba kama sadaka mbele ya Mungu, Ila usije weka matarajio yeyote kwa pesa uliomkopesha mtu.

Mfano
Rafiki akikuomba umkopeshe elfu Kumi...basi wewe kiroho Safi mpe elfu tano ili kumuwezesha katika jambo husika.

Sio ndugu
Sio rafiki
Wala nini.

Usikopeshe Ila wezesha.

Wapo wengi sana walirudishwa nyuma kwa kukopesha pesa kwa watu.

Asante
Tena usijaribu kabisa kumkopesha kiumbe mwenye miguu miwili matiti mawili na mbususu katikati ya mapaja yake....utaishia kusaga meno
 
Dah kuna mwana nimemkopesha million moja huu mwezi wa saba,yaani hana hata nia ya kunilipa…Ninabaki nahuzunika tu.Binadamu wabaya sana,alivyokuwa ananiomba hadi huruma ila sasa mimi ndo natia huruma na hela yangu mwenyewe
 
learning the hard way
 
Ndo inavyokuwaga mara zote
 
Aisee. Mdaiwa afungwi.
Katika maisha yako ya utafutaji epuka sana kumkopesha mtu pesa kwa lengo la kurudishiwa pesa yako ya awali.

Kumbuka kuwa pesa unayompa mtu kwa mkopo sio yako tena.

Aliwai kuniambia baba yangu"mtu akikuomba umkopeshe pesa mpe nusu ya pesa alio omba kama sadaka mbele ya Mungu, Ila usije weka matarajio yeyote kwa pesa uliomkopesha mtu.

Mfano
Rafiki akikuomba umkopeshe elfu Kumi...basi wewe kiroho Safi mpe elfu tano ili kumuwezesha katika jambo husika.

Sio ndugu
Sio rafiki
Wala nini.

Usikopeshe Ila wezesha.

Wapo wengi sana walirudishwa nyuma kwa kukopesha pesa kwa watu.

Asante
Chanzo cha kuvunja undugu
 
Dah kuna mwana nimemkopesha million moja huu mwezi wa saba,yaani hana hata nia ya kunilipa…Ninabaki nahuzunika tu.Binadamu wabaya sana,alivyokuwa ananiomba hadi huruma ila sasa mimi ndo natia huruma na hela yangu mwenyewe
Hahah

Pole
 
Hatari....wanatia huruma hao wakati wanaomba mkopo. Ukishawapa sasa loh!
Kuna demu nilimkopeshaga 5ok nakwambia hadi simu alikuwa hapokei.

Mwengine nilimkopa laki tatu niliambulia kula mbususu tuu
 
Aisee. Mdaiwa afungwi.
Katika maisha yako ya utafutaji epuka sana kumkopesha mtu pesa kwa lengo la kurudishiwa pesa yako ya awali.

Kumbuka kuwa pesa unayompa mtu kwa mkopo sio yako tena.

Aliwai kuniambia baba yangu"mtu akikuomba umkopeshe pesa mpe nusu ya pesa alio omba kama sadaka mbele ya Mungu, Ila usije weka matarajio yeyote kwa pesa uliomkopesha mtu.

Mfano
Rafiki akikuomba umkopeshe elfu Kumi...basi wewe kiroho Safi mpe elfu tano ili kumuwezesha katika jambo husika.

Sio ndugu
Sio rafiki
Wala nini.

Usikopeshe Ila wezesha.

Wapo wengi sana walirudishwa nyuma kwa kukopesha pesa kwa watu.

Asante
Nakubaliana na wewe na ndio kanuni yangu.
 
Si kumkopesha tu hata kumkopea (kumchukilia hela au kitu toka kwa mtu wa tatu) ni kosa la kiufundi. Na tena, usipende hata kumdhamini mtu deni adaiwalo. Utalala na viatu. Naeleza kwa uzoefu. Usithubutu.
Hapo hasa,Kuna mtu nilimdhamini akapewa mkopo mahali,duuuu,mwisho wa siku ilibidi niingize mkono mfukoni nilipe baadhi ya ule mkopo.
Yaani tuwe makini boss
 
Hatari....wanatia huruma hao wakati wanaomba mkopo. Ukishawapa sasa loh!
Kuna demu nilimkopeshaga 5ok nakwambia hadi simu alikuwa hapokei.

Mwengine nilimkopa laki tatu niliambulia kula mbususu tuu
bora wewe ulijilipa
 
Back
Top Bottom